Mwanamke yoyote aliye mpweke kama mimi tuungane na kupeana kampani

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
140
209
Habari za jioni ndugu zangu,
Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi.

Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka nimechoka sasa, naomba mwanamke yoyote aliye mpweke kama Mimi tuungane na kupeana kampani, umri wowote karibu PM.

Asanten Kwa kusoma thread yangu
 
Habari za jioni ndugu zangu,
Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi,.

Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka nimechoka sasa, naomba mwanamke yoyote aliye mpweke kama Mimi tuungane na kupeana kampani, umri wowote karibu PM.

Asanten Kwa kusoma thread yangu
Labda ungetupa sababu za upweke.
 
Huna mipango unakuwaje mpweke kwenye dunia yenye mambo kibao nikushauri ww sema unataka dem wa kunyandua ila upweke kama una hela huwez sema hilo neno nunua hata mbwa wa gharama uone kama utakua mpweke nunua hata ndinga kaliiiii kula adventure mwisho wa mwaka huu upweke unakujaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Upweke wa mahusiano sio starehe au pesa.
 
Habari za jioni ndugu zangu,
Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi.

Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka nimechoka sasa, naomba mwanamke yoyote aliye mpweke kama Mimi tuungane na kupeana kampani, umri wowote karibu PM.

Asanten Kwa kusoma thread yangu
Saa nane ni jioni??
Au ndio umevurugwa
 
Back
Top Bottom