kushona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya politics is at Next level: Gachagua to Ruto: Kama mtu anahara huwezi shona makalio, you have to deal with the real issues in the stomach

    You have to deal with the real issue within the stomach, not kushona makalio. Huwezi kutuzuia kwenda Kakamega kufanya mkutano kwa kuweka GSU, you have deal with the real issue in the stomach, not stitching the anus! Stool Itapenya tu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila, CCM, wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho

    Chalamila, na wengine wowote wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho. Hiki ni kizazi kipya, ni tofauti sana na sisi.
  3. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kero soko kuu la vitunguu la kimataifa singida

    1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake 2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
  4. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona sare za shule

    Habari za Usiku? Natafuta fundi mzuri wa kushona sare za shule ya msingi na chekechea aliyopo Tanga mjini. Fundi awe anajua kushona na pia kuleta machine yake/zake na kushonea sare ilipo shule. Kwa anayemjua fundi mzuri,tuwasiliane PM.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari mnaolipua kushona wanawake wanaojifungua kwa operesheni mnachangia ndoa nyingi kuharibika

    Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha) Kuna baadhi ya mishono...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya kushona suti za kiume

    Hi wanaJF na wanafashion designers, Naomba msaada wenu kwa mafundi wa suti Dar. Nataka kushona suti nzuri kabisa Kwa event ambayo nitahudhuria October 2025. Bei take ni kiasi gani nikiwa na kitambaa. Asanteni kwa mchango wenu. Alamsiki
  7. bakari khalidi

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo nipo hapa

    Natafuta Fundi wa nguo za kiume Msaidizi. Finishing Suits, Shirts, Pants ect..Nipo tayari kukufundisha kushona nguo za kiume kisasa for free +255719377649 Dar es salaam, Tanzania
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  9. beaf tanzania

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mafundi wa kushona kwa cherehani

    Tunahitaji MAFUNDI wa Kushona CHEREHANI 1. Sifa za Kitaaluma Uzoefu wa angalau miaka mitatu katika kazi ya kushona cherehani. Uwezo wa kushona na kukata vitambaa kwa usahihi na uangalifu, kulingana na mahitaji ya kazi. 2. Sifa za Kimsingi Awe mkazi wa Dar es Salaam. Umri kati ya miaka 20 hadi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona viatu anahitajika

    Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta. Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa. Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/= Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi. Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  14. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  15. Mwendece

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo Morogoro Mjini anahitajika

    Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi. mwenye uhitaji huo nicheki...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la vitambaa vya kushona

    Habari za muda huu, Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora! Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
Back
Top Bottom