Ni wapi pa uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za USA, UK na Dubai

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
135
250
Habari wana jukwaa,

Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai.

Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada huu
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,675
2,000
Kwa UK zipo kama sehemu yeyote duniani ila kwa uelewa wangu nafikiri ungeangalia na bidhaa zulizorudishwa na wateja ambapo zina hitilafu kidogo ila bado mpya na bei ni chini sana
IMG_0188.jpg
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,561
2,000
nafikiri ungeangalia na bidhaa zulizorudishwa na wateja ambapo zina hitilafu kidogo ila bado mpya na bei ni chini
site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used
Mojawapo ni hii Amazon [.com .in .uk ]
Ongeza hili neno refurbished kwenye search box baada ya jina la bidhaa unayotaka , Utapata bidhaa bora na kwa gharama nafuu.
Changamoto itakuja kwenye gharama za kusafirisha kuja nchini.
 
Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
135
250
Mojawapo ni hii Amazon [.com .in .uk ]
Ongeza hili neno refurbished kwenye search box baada ya jina la bidhaa unayotaka , Utapata bidhaa bora na kwa gharama nafuu.
Changamoto itakuja kwenye gharama za kusafirisha kuja nchini.
Asantee saana nimeelewaa, usafirishaji nimeambiwa kuna watu wanaitwa shop and ship wapo poa na wanacharge per kg
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,675
2,000
Site inaitwaje mkuu, au naangalia wapi?

Kuna Gem wholesale na Marthill na Amazon
Wote ni ex catalogue ila unaweza kutumiwa vitu ambavyo huhitaji kwenye mchanganyiko wa bidhaa zako kwenye pallet
Inahitaji kama una mtu huku akusaidie au angalia specific bidhaa gani unahitaji kwani wanaweka kila kitu
All the best
 
Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
135
250
Kuna Gem wholesale na Marthill na Amazon
Wote ni ex catalogue ila unaweza kutumiwa vitu ambavyo huhitaji kwenye mchanganyiko wa bidhaa zako kwenye pallet
Inahitaji kama una mtu huku akusaidie au angalia specific bidhaa gani unahitaji kwani wanaweka kila kitu
All the best
Asante saana
 
issaramadhani

Member
Jan 29, 2017
15
45
Habari wana jukwaa,

Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai.

Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada

Habari wana jukwaa,

Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai.

Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada huu
Jamani me nahitaki masada ikiwa kama sina Sanduku la posta na nahitaji kuagiza kitu nnje sas nawaza mzigo wangu ntaupata vipi msaada wenu wana jf
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom