Mimi nitaoa 2021

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
128
250
Wakuu mimi nategemea kuoa mwakani 2021' nitafurahi sana kama wana jukwaa wa JF mtakuwa moja ya watu mtakaofanikisha ndoa yangu (Serious issue) nipo single nitafurahi pia hata nikimpata mwenza hapa hapa au kupitia hapa' ila hata nikikosa hapa kwa juhudi zangu nitatafuta 2021 mapema saana Mungu akijaalia kuwa hai na kunipatia mke nitaoa (lengo langu 2021)

NB: Kwa msichana mwenye lengo na utayari wa kuolewa pia naomba tu share ideas (huwezi jua Mungu kapanga nini mbele yangu/yako)
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,209
2,000
mkuu huko kitaani kwenu hakuna wanawake mpk unakuja humu ndani, yani unataka wanawake wa JF au inakuwaje mkuu, any way nisikukatishe tamaa subiri unaweza kubaatisha kila la kheri
 
Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
128
250
mkuu huko kitaani kwenu hakuna wanawake mpk unakuja humu ndani, yani unataka wanawake wa JF au inakuwaje mkuu, any way nisikukatishe tamaa subiri unaweza kubaatisha kila la kheri
Waliokuwa JF wanatokea wapi mkuu? ni hao hao wa mtaani ila tunakuta kwa njia tofauti tu!! unajua kuwa changudoa wa sinza ndiyo unaye mtongozaga kimara bila kujua kama ni changudoa na anakukataa vile vile............FIKIRIA KIDOGO
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,209
2,000
Waliokuwa JF wanatokea wapi mkuu? ni hao hao wa mtaani ila tunakuta kwa njia tofauti tu!! unajua kuwa changudoa wa sinza ndiyo unaye mtongozaga kimara bila kujua kama ni changudoa na anakukataa vile vile............FIKIRIA KIDOGO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu ila nimecheka sana eniwei nakutakia mafanikio kwenye kupata mwenza
 
Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,452
2,000
Samahani kwa kuleta siasa hapa, lakini ndiko tulikofikia now

Kwani wewe ni ccm?

Mimi huwa sitoa mchango wangu pande hizo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom