Valentine hii isipite tena nikiwa single

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
128
250
Habari za kazi wakuu,

nina zaidi ya miaka 5 sasa sijaifurahia valentine na mpenzi (nakuwa na familia ama marafiki tu) hii ni kwasababu sipo katika mahusiano!

Nimesha weka mara nyingi saana Thread hapa za kutafuta mwenza ila bahati mbaya bado sijapata aliye serious au wa kuendana naye, nimechoka kwa kweli kuwa single, kuwa mpweke na kutokufurahia mapenzi, sasa naomba iwe ni ombi maalumu kwa msichana aliye tayari kuingia katika mahusiano basi karibu PM valentine hii tusiwe tena single ikiwezekana mwaka huu pia usiishe kabla ya kuwa katika ndoa!

sina vigezo vingi saana zaidi ya kuhitaji mtu mwenye akili timamu na smart, umri ni 23 - 31 mimi nipo 32-35. mengine mengi naomba tuongelee PM kwa aliye tayari
 

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
8,929
2,000
Zingatia ujumbe huu
Screenshot_20210125-183056.jpg


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 

rediicky

Senior Member
Apr 1, 2019
199
500
Hela ya kutosha kuendesha maisha ninayo Mzee, mapenzi ni sehemu ya maisha
sasa nikwambie mpenzi hayo ndio yatakutoa kwenye mstari usiwekeze ety ni sehemu ya maisha you will lost my friend

wee tulia moja atajiweka vzur tu naimani sample zinanzokuja sio zile unazo zielew so kua mpolee tu

viumbe hizi havielewek leo unataka kesho utavikinai
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom