Search results

  1. C

    Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani Dodoma wanastahili pongezi

    Wakuu katika kupambania vibarua vyetu ili kutekeleza ilani ya chama tawala , nimejikuta niko Dodoma, sio mara ya kwanza kuja Dom kikazi ispokuwa mara kadhaa nilipokuwa nikija nilikuwa nakuja katikati ya wiki nakuwa bze na kilichonileta then nageuka, na hata nilipokuwa nafkia ni pembeni mwa mji...
  2. C

    Hatimaye maadui wamekuwa msaada, hakuna ajuae kesho yake

    Wakuu kuna viumbe wanaitwa Bodaboda. Nadhani wengi tunawafahamu sana. Kwa watumiaji wa barabara nadhani tunawafahamu zaidi. Namaanisha kwa kero na adha tunazokutana nazo juu yao. Binafsi nimeathiriwa nao mara kadhaa ikiwemo kunigongea(kuvunja site mirrors zangu kadhaa)? Kugonga ndugu zangu...
  3. C

    Msafiri

    Safari inaanzia, kwetu nyumbani ndani Njaa imevamia, kilimo chawa mtihani Mifugo wamelishia, yote mazao shambani Tulivyowakatazia, kazuka vita taflani Kila mmoja achunge, yake mipaka yakazi. Na mazao yaliyomo, ni dhaifu nje ndani Pembejeo za kilimo, zaishia ofisini Wajuvu waliomo, hatuwaoni...
  4. C

    Kuna siri ipi kati ya vyama vya upinzani na "Fimaxcom"

    Wakuu mie si mdau sana katika masuala ya kisiasa . Nipo kwenye lile kundi ambalo tunafatilia taarifa za kisiasa kwenye trending issues. Sasa hapa karibuni nikipita kwenye page tofauti tofauti za wanasiasa hasa wa upinzani ( Zitto, Lisu nk)nakutana wakielezea na kutushawishi kunako application za...
  5. C

    Mrejesho baada ya kuambiwa nichague kati ya Vanguard na Harrier ili ku compensate kama malipo ya kazi

    Kama nilivyowaomba ushauri kwenye post yangu ya 8/1/2021 nikitakiwa kuchagua kati ya gari tajwa hapo juu na kampuni moja ya ujenzi kama fidia ya deni nililowadai kwa muda mrefu bila malipo. Nawashukuru sana wana Jf na members wa forum hii kwa ujumla kwa mchango wenu wa ushauri , maoni na mawazo...
  6. C

    Nilivyobebeshwa vitu hatari na magendo bila kujijua

    Leo naomba ku share nanyi matukio nilowahi kupitia yakubebeshwa vitu vya hatari pasi na kuelewa. 1: Mwaka 2002 Nikiwa darasa la 2 Mama yangu mzazi alifariki dunia. Nikaombewa ruhusa na kwenda kumzika (nilkuwa nikiishi na baba Mwanza). Baada ya Mazishi nilipata homa kali ambayo hospital za pale...
  7. C

    Atakuwa ananipenda au ananitamani tu?

    Kuishi kwingi unapitia mengi bandugu... Nime experience aina ya mahusiano ambayo sijawahi ona. Mwaka 2015 nilikutana na mdada mmoja nikiwa likizo fupi home. Hatukutongozana wala kuwa pamoja kivile but ilitokea siku moja niko tiz akataka nayeye ashiriki nikamkaribisha baada ya hapo nikajilia...
  8. C

    Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

    Habari: Wakuu kuna "Kampuni" moja ya kigeni nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa vipindi tofauti kila wanapopata tenda hapa Tz. Sasa kuna mradi wamemaliza na juzi wamekabidhi kwa mafanikio makubwa huku wakipew big" YES" na Wizara husika. Sasa kuna kiasi flan cha Pesa bado nawadai but hawataki...
  9. C

    Mitandao ya Simu za Mkononi Tanzania ijumuisheni JamiiForums katika Vifurushi vya Social Pack

    Me ni mtumiaji sana wa Tigo, kulingana na gharama za vifurushi kuwa juu hasa vile vyenye "Mb" nimekuwa nikijiunga sana vifurushi vya social kwa ajili ya kuperuzi mitandao ya kijamii. Chakushangaza wameorodhesha Instagram, Whatsp, Facebook na Tweeter kwenye vifurushi vyote vya "Social Pack " ila...
  10. C

    Sivutiwi sana na wanawake wafupi ila sifa za mwanamke ninayetaka kumuowa zote wanazo wao

    Wakuu kumradhi sija wa criticize dada zetu, mama zetu, au shangazi zetu wafupi. Ila katika nafsi ya mtu kila mmoja ana kitu kinachomvutia zaidi. Binafsi navutiwa sana na wadada warefu na wenye rangi japo hata wastan . Nikiwa kwenye harakati zakutaka kuchagua mwanamke wakuishi nae nimejikuta...
  11. C

    Tanzania kuna bank ambayo inahifadhi Fedha kwa mfumo wa Dollar?

    Wakuu katika maboresho ya huduma na uanzishwaji wa huduma mpya, hakuna Bank yoyote nchini Tanzania ambayo imeanzisha/ ina huduma inayomuwezesha mteja kuhifadhi pesa zake kwa mfumo wa USD.? Mfumo ambao mteja anaweza deposit tsh zikiwa converted automatically kuwa Dollar na miamala yake akafanya...
  12. C

    Zawadi gani nikimpa hatonisahau?

    Wakuu nina rafiki yangu wa kike ambaye namkubali sana but hatuna mahusiano yakimapenzi (japo some time nakuwa na hisia naye but najizuwia mana ukiendekeza mihemko ya kimwili waweza mtongoza hadi mama yako) So leo kutokana na dharura za kikazi hatukuweza kusherehekea IDDI pamoja. Kanilaumu sana...
  13. C

    Mambo yaanza kukaa sawa kwenye zao la ufuta

    Baada ya sintafahamu juu ya zao la ufuta, huku mvutano mkali wa bei kati ya serikali na wakulima ukizidi kupamba moto hatimae maambo ya anza kukaa sawa hivyo wafanya biashara na wakulima wa zao hili shusheni presha zenu. SABABU ZA KUVURUGIKA KWA BIASHARA. 1: Mvutano wa bei Kati ya mashirika ya...
  14. C

    Kumbe kusamehe ni kazi hivi?

    Wakuu: Mimi ni miongoni mwa watu tunaopenda sana amani , napenda kuwa nafuraha muda mwingi, nafurahi zaidi mwingine anapofurahi au mambo yake yanapomuendea sawa. Nimekuwa mtu nisie hifadhi chuki wala kuishi na vinyongo moyoni, nimekuwa nikipuuzia na kusamehe kila baya nalofanyiwa. Mimi ni mtu...
  15. C

    Jinsi gani unavyoweza kutumia makampuni/ viwanda kujitengenezea fursa/ kipato na kutimiza ndoto zako

    Kutokana na changamoto tuliyonayo ya ukusefu wa ajira huku ongezeko kubwa la wahitimu wa nyanja tofauti tofauti likizidi kila mwaka. Niukweri ulio wazi kuwa hakuna serikali yoyote duniani inayoweza kuwaajiri wahitimu wake wote ispokuwa nchi za wenzetu wamewekeza zaidi katika teknolojia...
  16. C

    Uzi maalum wa kutambuana professional zetu kwa atakae taka

    Wakuu baada ya post nyingi za " anaefahamu jambo hili anisaidie ", "mwenye kitu hichi anisaidie" nk nimeona nirahisishe tukutane hapa kila mtu ataje japo kitu kimoja anachokifahamu kinaga ubaga (nje ndani) ili siku yoyote mtu akihitaji msaada katika jambo hilo akutafute direct. Note: sio...
  17. C

    Kupitia kazi/ Biashara/ shughuli unazofanya, Umeathirika vipi na umenufakaje na miaka 5 ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano?

    Nakutana na thread & comments nyingi za kupongeza na kulaumu serikali ya Mjomba ila kwa bahati mbaya sijakutana na mtu anaye toa ushuhuda wa moja kwa moja kwamba mpaka sasa ameathirika vipi au amenufaika vipi na awamu ya kwanza ya Muheshimiwa. Wengi humu wana sifia/ wanaponda uongozi huu kwa...
  18. C

    Heshima kwenu wadada/wakina mama mlioolewa na kuishi ukweni hasa kwenye familia zenye watu wengi

    Wana MMU mlio wengi mnapenda thread za kulana matunda kimasihara, kuchakatana yani Ngono na bata kwa ujumla. Leo naomba tujadili mambo yakifamilia zaidi hasa zile za kiswahili. niwakumbushe wale tulopita kwenye familia za mlundikano wa ndugu, je, tunawakumbuka wale wake za kaka zetu, na mama...
  19. C

    Tofauti kati ya Mfanyabiashara na Mfanyakazi (Mtumishi wa Umma)

    Kitu nimechogundua katika safari yangu ya maisha baada ya ku experience vyote viwili kwa muda mrefu, ni kwamba kuna tofauti kubwa ya wasomi hasa watumishi na wafanya biashara. Miongoni mwa tofauti hizo ni 1:Elimu , biashara inahitaji skills na skills una experience while ajira nyingi za bongo...
  20. C

    Awamu ya 5 (2015-2020 ) ni yupi Waziri bora ( ulovutiwa na utendaji wake) kwa upande wako

    Tupo mwishoni mwa muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya 5, kuna mengi yamefanyika yanayokera na mengi pia yanayofurahisha ila tulio wengi tunafanya tathmini juu ya utendaji kazi wa Serikali hii kwa kumuangalia Rais pekee. Leo nataka tulitathimini baraza la Mawazili la serikali hii ya awamu...
Back
Top Bottom