Sivutiwi sana na wanawake wafupi ila sifa za mwanamke ninayetaka kumuowa zote wanazo wao

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Apr 28, 2019
491
1,000
Wakuu kumradhi sija wa criticize dada zetu, mama zetu, au shangazi zetu wafupi. Ila katika nafsi ya mtu kila mmoja ana kitu kinachomvutia zaidi. Binafsi navutiwa sana na wadada warefu na wenye rangi japo hata wastan .

Nikiwa kwenye harakati zakutaka kuchagua mwanamke wakuishi nae nimejikuta napitia wakati mgumu kutokana na aina ya wanawake ninaovutiwa nao wana miss vigezo navyovihitaji kwa mke mtarajiwa.

Sasa kinyume chake inakuwa kila biti anaekidhi vigezo navyohitaji 100% ni katika wale wanawake ambao sivutiwi nao (wanawake wafupi)

Wanawake wafupi wapambanaji yan wapo Flexible (they can change according to environments).

Wanawake wafupi wavumilivu sana kwa madhaifu ya wanaume zao.

Wanawake wafupi wanasimamia vizuri familia hasa baba asipokuwepo.

Wanawake wafupi si wenye matumizi makubwa yakifedha

Wanawake wafupi wepesi kitandani (hili nimehadithiwa)

Wanawake wafupi wajengaji sana wa miji (ndoa zao)

Si wepesi wakutaka talaka.

Sasa wakuu nipo njia panda mana kila cv nayotoa inamuangukia mtu mfupi namimi na hao viumbe ndo tumepishana damu kabisa
 
Woooooozaaaaah🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Woooooozaaaaah🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Leo naomba tu unielekeze hizo emoj za kama kadada kana mbawa za vipepeo unaitoa wapi?ni aina ya keyboard ya simu yako ama ni manjonjo kama manjonjo ya ile siku?
 
Leo naomba tu unielekeze hizo emoj za kama kadada kana mbawa za vipepeo unaitoa wapi?ni aina ya keyboard ya simu yako ama ni manjonjo kama manjonjo ya ile siku?
😅😅😅😅😅hiyo hapo madame 😊😊
9511D9C4-7513-49B1-804D-2B7EA4F2371E.jpeg
 
Oa tu huyo andunje wako asiye na vigezo acha kutafta justification sijui watii wavumilivu ili kujipa amani, tabia njema haina mfupi Wala mrefu. So usijifariji while reading between lines hupendi shoti chesisi
 
Ktk mahusiano ,kazi ,bihashara huwezi kumpata mtu ambae kwa upande wako awe amekidhi vigezo vyooooote labda umuumbe mwenyewe,

Unaweza pata mwanamke mlefu na mwenye sifa unazoziitaji lkn akawa sio mtunzaji mzuli wa familia , na kuna. Tabia mtu kumrekebisha ni kazi kweli kweli , ukiona yupo mwenye vigezo vyako kwa 70% owa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
katika upendo ukiwa unamtafuta mwenza tafuta unaempenda, tabia ni vitu vya kuelekezana na kuvumiliana.
 
Oa tu huyo andunje wako asiye na vigezo acha kutafta justification sijui watii wavumilivu ili kujipa amani, tabia njema haina mfupi Wala mrefu. So usijifariji while reading between lines hupendi shoti chesisi
Hahahhaha Madame it's not defensive mechanism to justify that matter, but is the way of accomplish my ambition .

Zunguka mtaani angalia wamama wajasiriamali kwenye 10 kuna wafupi 7, nenda kwa kaka zako rorya kule utakuta ndoa zenye umri mrefu 10 za wafupi 8. Huwa wana ji scruffy sana huwa viumbe
 
Wewe oa tu andunje wako hizo nyingine Ni kujifariji ufupi Ni udumavu Wala haihusiani na ndoa au uchapaka kazi, pia Ni asili tu ya jamii flani
 
Tabia na maumbile haviendani, Cha msingi oa unayeona anafaa kuwa mke...UKIAMUA KUISHI KWA MGANGA KUBALI KUNUKA DAWA. Hizi chagua chagua ndo huwa mnajikuta mko nje ya matarajio.
 
Back
Top Bottom