Zawadi gani nikimpa hatonisahau?

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
491
1,000
Wakuu nina rafiki yangu wa kike ambaye namkubali sana but hatuna mahusiano yakimapenzi (japo some time nakuwa na hisia naye but najizuwia mana ukiendekeza mihemko ya kimwili waweza mtongoza hadi mama yako)

So leo kutokana na dharura za kikazi hatukuweza kusherehekea IDDI pamoja. Kanilaumu sana why sijamualika pilau wakati j pili anasafiri ko Nataka aende bila kula pilau? nikamwambia usjali ntakufanyia special surprise kesho hutojutia kukosa pilau la leo.

So Wajumbe naombeni ushauri nimnunulie nini ambacho hata uko aendeko hatokuja kunisahau??

Zawadi / kitu hicho kiwe na sifa zifuatazo.

1: Kiwe cha gharama nafuu.
2: kinachoweza mpa furaha.
3: kitakachomfanya ajue kweli nampenda.
4: ambacho kitamfanya a enjoy kuwa rafiki yangu.
5: ambacho kitaacha alama katika akili yake hata siku tukija gombana awe akikumbuka ananimiss.
 
Carleen

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
5,167
2,000
Hata umpe ili mwrngu atakusahau tu
Labda angekua demu wako ukampa mimba angepata mtt asingekusahau
Haha..
Nilivyoona kichwa cha habari namie nikaja mbio na jibu la 'mpe mimba'..!

Enwei, siyo mbaya pia, tuambie tu siye tutafute pa kwenda kisha mzawadie hii dunia.!
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
19,414
2,000
1. Barakoa, chupi ataivaa kila atapokukumbuka
2. (Kama anapenda kula kama mie) Chipsi yai na kuku pamoja na chokoleti bila kusahau ubuyu wa Zanzibar, ntatabsamu safari nzima
3. Busu la kwenye midomo ila isiwe denda. Kwa kizungu ningesema outer lip kiss. (Whoever kiss me in the lips najua ananipenda)
4. Hereni ama saa ama bracelet ama purse
5. Fore play and if it goes well, a well performed sex after sex have different selfies with her on your way out while waving bye bye.

Kasie.
 
Sivan

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
926
1,000
Ai

Point ya tatu inaleta mpaka hisia kweli ilo busu tamu.
 
Best Anko

JF-Expert Member
Sep 5, 2019
409
1,000
Nishukuru baadae.
4b24368aa2d2bb14f8a48226b5142d0e.jpg
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,780
2,000
Wakuu nina rafiki yangu wa kike ambae namkubari sana but hatuna mahusiano yakimapenzi (japo some time nakuwa na hisia nae but najizuwia mana ukiendekeza mihemko ya kimwili waweza mtongoza hadi mama yako) so leo kutokana na dharura za kikazi hatukuweza kusherehekea IDDI pamoja. Kanilaumu sana why sijamualika pilau wakati j pili anasafiri ko Nataka aende bila kula pilau? nikamwambia usjali ntakufanyia special surprise kesho hutojutia kukosa pilau la leo.

So Wajumbe naombeni ushauri nimnunulie nini ambacho hata uko aendeko hatokuja kunisahau??

Zawadi / kitu hicho kiwe na sifa zifuatazo.

1: Kiwe cha gharama nafuu.
2: kinachoweza mpa furaha.
3: kitakachomfanya ajue kweli nampenda.
4: ambacho kitamfanya a enjoy kuwa rafiki yangu.
5: ambacho kitaacha alama katika akili yake hata siku tukija gombana awe akikumbuka ananimiss.
Mnunulie ka Ist tu katamtosha, na atakukumbuka sana💏💏
1596230300295.png
 
chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
16,851
2,000
Hata umpe ulimwengu atakusahau tu
Labda angekua demu wako ukampa mimba angepata mtt asingekusahau
yule mfalme wa kwenye biblia alikua Gentleman kiasi kwamba aliwambia wanawake “ ni nini haja ya moyo wako ?,hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia”. ila bado walimdharau
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
4,106
2,000
Ataivaa kweli.? Kumbuka she is just a freand, hatonihisi vibaya kweli?
Swala la kukuisi vibaya inategemea na namna utavyo iwasilisha kwake. Lakin kama utawasilisha kirafiki atakuchukulia kirafiki pia japo inaweza.mfanya kuanza kujenga hisia kwako.

Kama hiyo ni ngum mpatie kikoyi(scuf)
 
Cheef Baroka

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
491
1,000
Swala la kukuisi vibaya inategemea na namna utavyo iwasilisha kwake. Lakin kama utawasilisha kirafiki atakuchukulia kirafiki pia japo inaweza.mfanya kuanza kujenga hisia kwako
Ok. Nahisi kukuelewa. Sema kuna Aunt yake mmoja ni msiri wake sana ana nambiaga kuwa kila kitu chake lazima amshirikishe . Huyo Aunt yake tunaheshimiana sana, nawaza kama akishirikishwa hato comment negative?
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
4,106
2,000
Ok. Nahisi kukuelewa. Sema kuna Aunt yake mmoja ni msiri wake sana ana nambiaga kuwa kila kitu chake lazima amshirikishe . Huyo Aunt yake tunaheshimiana sana, nawaza kama akishirikishwa hato comment negative?
Vitu vya hvyo havinaga negative comments labda kama atakuwa na mtu mwingine ambae anataka mtoto wale hawenae.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom