Mambo yaanza kukaa sawa kwenye zao la ufuta

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Apr 28, 2019
491
1,000
Baada ya sintafahamu juu ya zao la ufuta, huku mvutano mkali wa bei kati ya serikali na wakulima ukizidi kupamba moto hatimae maambo ya anza kukaa sawa hivyo wafanya biashara na wakulima wa zao hili shusheni presha zenu.

SABABU ZA KUVURUGIKA KWA BIASHARA.

1: Mvutano wa bei Kati ya mashirika ya ununuzi wa zao na wakulima .
Serikali ilitoa bei elekezi ya zao la ufuta kuwa 1600 kg, ambayo si rafiki na uhalisia wa zao.

2: Kupigwa marufuku usafirishaji na ununuzi wa zao la ufuta kwa wafanya biashara wa kawaida.
Ukigundulika umenunua au kusafirisha Ufuta nje ya mashirika unataifishwa au kulazimika kuuza kwenye mashirika.

3: Corona: jeuli kubwa ya mashirika yanayo nunua zao la ufuta nikusafirisha nje ya nchi ikiwemo China na India . Hivyo bado ya Covid19 mipaka ilifungwa na kukwamisha biashara.

4: Mashirika yanayo nunua zao la ufuta kutokulipa kwa wakati. Mkulima akipeleka mzigo hupimwa na kuambiwa bei ila pesa hapei kwa wakati.

5: Msimu huu kulingana na mvua na hali ya hewa Ufuta haukuwa mzuri . Mwingi ulikuwa mweusi, umefubaa na mwingne kuvunda.

MZAO MENGINE YALIYOATHIRIKA

1: CHOROKO
2: PAMBA
3: KAHAWA
4: KOROSHO .

MATUMAINI

1: Baadhi ya nchi zaanza kufungua mipaka

2: Serikali yarekebisha bei elekezi. ( kila mkoa una bei yake.

3: Ufuta waanza kuadimika. Kutokana na vyanzo vyangu maeneo yalikuwa yakizalisha Ufuta mzuri kama Mpanda katavi, tuliani morogoro umeanza kuwa adimu hivyo imebaki Dodoma, manyara ambao ufuta wao mwingi mwaka huu si mzuri sana.

MAONI

1: Serikali iwaruhusu wafanya biashara binafsi kununua Ufuta japo kwa bei elekezi.

2: Mashirika yalipe pesa kwa wakati .

USHAURI KWA WAKULIMA.

1: Kuweni na subira kama huna dharura usiuzi ufuta kwa sasa mana wafanya biashara wanatumia fursa hii kununua vitu kwa bei ndogo ambayo ni hasara kwa mkulima ili badae wauze ghari zaidi.

MAZAO YENYE FURSA KWA SASA. ( YANAYOTOKA/KUNUNULIWA KWA WINGI)

1: UBUYU ( WA UNGA NA WA MBEGU)
2: NGANO.
3: KARANGA.
4: MAHINDI YA BISI.
5: NJUGU MAWE.
 
Hivi ngano Kwa wingi Sana inalimwa wapi aiseee..??
 
Mkuu mimi natafuta chimbo la ufuta unapouzwa bei nzuri kwa jumla!
 
Songea wamekubali kuuza kwa tsh 2800 kwa kilo..naona mambo mazuri.
 
Back
Top Bottom