Search results

  1. V

    #COVID19 Tanzanian PhD student dies of Covid -19 complications in India

    By Agencies More by this Author Vadodara. Tanzanian national, Emmanuel Harrison Ngowi has died of Covid-19 complications at a government facility in the city of Vadodara while undergoing treatment, reports The Indian Express. Emanuel Harrison Ngowi, 34, had joined the PhD course for business...
  2. V

    Plots for sale at Bunju A

    Viwanja vinauzwa eneo la bunju A. eneo liko bunju A, Ni kama km 1 kutoka barabara ya bagamoyo.Kama unaenda na daladala unashukia Bunju CCM au Bunju Polis. Viko karibu kabisa na Chuo kubwa kinachojengwa cha Don Bosco. Viko vitalu 11 vilivyoungana na vya ukubwa tofauti na vina mchoro. Viwanja ni...
  3. V

    Acha uzembe...kuwa makini unapomtumia mpenzi wako meseji.

    Unaweza ukafanya uzembe mdogo…..ila athari yake ikawa kubwa kuliko maelezo Kuna ndugu mmoja mpendwa katika Kristo, alikuwa anamtumia meseji ya kumtakia usiku mwema dada mmoja waliyekuwa wameshibana katika penzi . Lengo lake ilikuwa ni kutumia sms yenye kumtakia usiku mwema na akampa na...
  4. V

    I am a billionaire....but DONT think about robbing me..

    Pesa zote hizi ni z$ 2,500,000,000/= sawa ana us$100
  5. V

    Job opportunity: Akiba Commercial Bank

    JOB OPPORTUNITYAkiba Commercial Bank Plc, a leading microfinance bank in Tanzania, is seeking to recruit for the following vacant senior management position to be based at its Head Office in Dar es Salaam. CHIEF INTERNAL AUDITOR The role functionally reports to the Board’s Audit Committee and...
  6. V

    Vidonge vya ku'contract' uke baada ya ...

    Habari zenu wadau! Wikiendi iliyopita nlikuwa nimechili mahali fulani (actually ni bar), nkiwa nakunywa kilaji nkisubiri supu yangu ya mkia. Pembeni ya meza nliyokuwepo, kulikuwa na wadau wengine wakipiga soga. Katika mazungumzo yao nliwasikia wakiwa wanazungumzia dawa ambayo mwanamke...
  7. V

    BASATA lawashukia wavaa nusu uchi wa bongo movies na wacheza shoo za bend!

    BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limewaagiza viongozi wa mashirikisho ya sanaa hapa nchini kufuatilia kwa karibu matukio ya ukiukwaji wa maadili yanayoendelea katika sekta hiyo hivi sasa na kuchukua hatua kwa wanaobainika kufanya hivyo. Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego, mbali na...
  8. V

    Beware of jamii forum addiction!!

    Ukizoea sana Jamii Forum, unakuwa mtumwa. Kila mara unatamani uwe online mpaka chooni ??? Kipindi cha mgawo wa umeme hiki,duuuh.. kuna wanaopost hata wakiwa wagonjwa kitandani Mwenzenu naumwa, ndo naingizwa OPD Wanafunzi nao wako bize, sijui wanasomaga saa ngapi??
  9. V

    Kuchagua kinywaji cha kunywa, muda, eneo au tukio vinanishinda.!!

    Wadau sijui ni ushamba wangu, au ni kutokuelewa. Suala la vinywaji kuendana na tukio, mlo, wakati au sehemu, linanipiga chenga. Inawezekana mezani tumemaliza kula, kila mtu akiwa na glass yake ya juice mezani, mi najikuta peke yangu ndio nna lager mkononi. Jioni utakuta watu wanakamua scotch...
  10. V

    Tahadhari kwa wanaokuja moshi!

    Kwa wale mliokuja/ mnaokuja/mtakaokuja moshi kwa ajili ya siku kuu hii. Napenda niwape tahadhari mapema. Muwe makini na wizi, moshi kuna mbinu tofauti kabisa za wizi. usijesema wewe mtoto wa born dar siibiwagi. Vibaka ni wengi kila kona. Na wanaiba kwa teknek za kichina,hushtuki unapoibiwa...
  11. V

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  12. V

    Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?

    Nina rafiki yangu ambae tumetoka nae mbali sana, ni zaidi ya rafiki kwangu mana tunaishi kama ndugu kabisa. Jamaa yangu ana GF wake ambae amejiandaa atamvisha pete desemba hii, na wafunge ndoa april 2012. Jamaa anampenda sana huyu binti, tatizo ni nimekuja kugundua huyu binti si MWAMINIFU KABISA...
  13. V

    Hawezi kunioa kwasababu hana "MSIMAMO WA MAISHA"

    Habari zenu wana MMU, Siku hizi kumekuwa na msemo kwa wasichana wengi kuwa hawezi olewa na mtu ambaye hana MSIMAMO WA MAISHA. Hii imekuwa kama kaugonjwa kapya ka wasichana kukimbilia wanaume wenye kipato cha juu, na huwabwaga maboifrend au wachumba zao wenye kipato dhaifu kwa kusema HAWANA...
  14. V

    Unakumbuka mapenzi ya sekondari? ...kipindi hamna simu za mkononi?

    Wakati nkiwa sekondari simu za mkononi zilikuwa bado hazijaenea sana,ndo kwanza zilikuwa zinaingia nchini!Njia kuu ya kukutana na msichana wako ilikuwa kwa kuandikiana barua,au mnaambiana mkutane wapi. Basi,nlikuwaga na msichana wangu wa form3 mtaani, Siku moja nkiwa likizo kitaa tukaaidiana...
  15. V

    hodiiiii...habari za hapa?

    wadau wa JF,habari za kwenu wandugu.nimekuwa guest mda wa kutosha.nadhani sasa mnikaribishe ndani kama ndugu yenu. naombeni mnipokee kiroho safi wadau wa JF.
Back
Top Bottom