Mmezidi sasa kuwaonea wachagga jamani...!!!

Mmezidi sasa kuwaonea wachagga jamani...!!!

valid statement

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
2,855
Reaction score
895
40746_445981155674_1741983_n.jpg 40746_445981155674_1741983_n.jpg
 
Hahahaha huyu jamaa alitaka kujaribu kuwasingizia wasukuma lakini hakimu Google akakataa kwamba kwa wasukuma sikubali, au ulimaanisha wachagga. Huenda huyu hakimu alishapata fununu kuhusu hawa jamaa
 
Wanakuja sasa hivi,ngoja kidogo tu mkutano wa baraza kuu la chama umalizike
 
Ukikaa kiduanzi lazima ulizwe.......mjini unatakiwa uchangamke.......
 
Big up wachagga!! Are fighters!!! Ukibhatika kuoa/olewa na chagga jua umejikomboa kimaisha!!! Mifano iko hai na si uongo!! Wake kwa wanaume kwao ni majembe tu!!!
 
Kilimanjaro- the most successful and prosperous area in Tanzania! Nani anabisha??

Facts::::
Wakati only 18% ya Tz wana umeme... some districts in Kilimanjaro 85% ya nyumba nzuri zina umeme! This coverage is greater than % of electricity coverage in South Africa which is 75%!

Maji safi, barabara safi za lami, shule bora na vyuo bora lukuki, hospitali bora!

Halafu mnasema hawa watu ni wezi!

Sasa wafanyeje ili wazidi kusonga mbele?

Yesu na Maria!!!!!!
 
Mawazo yako mgando ndio yanayokufanya ufikirie hvyo,Mtu yeyote akijishughulisha katika maisha ni lazima afanikiwe
Nyie ndio mnaowaita watu freemason kisha wamefanikiwa
Badilika fanya kazi uongeze kipato chako ili na wewe uweze kuitwa mwizi
 
Back
Top Bottom