hodiiiii...habari za hapa?

valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,796
2,000
wadau wa JF,habari za kwenu wandugu.nimekuwa guest mda wa kutosha.nadhani sasa mnikaribishe ndani kama ndugu yenu.
naombeni mnipokee kiroho safi wadau wa JF.
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,646
2,000
Karibu sana jamvini, tunategemea kupata mengi kutoka kwako. Zingatia kanuni na sheria za JF.
 

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,721
2,000
Karibu sana uwacha wa watu wenye mawazo na uwezo wa kutoa/kujadili hoja kwa mapana na marefu ..Natumaini na wewe utajengeka kimisingi hiyo
 

valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,796
2,000
Karibu sana uwacha wa watu wenye mawazo na uwezo wa kutoa/kujadili hoja kwa mapana na marefu ..Natumaini na wewe utajengeka kimisingi hiyo

naam.nami natumaini pia kujengeka kupiji JF...kwenye wengi pana mengi.natambua ya kuwa kutakuwa na hoja za msingi na zenye kujenga.na pia hakukosekani hoja zenye fikra finyu pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom