Geti la dharura (kwa wale waliopitia MAJENGO SEC MOSHI)

valid statement

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
2,855
Reaction score
895
558930_427193090664836_1477680697_n.jpg558930_427193090664836_1477680697_n.jpg
 
Dah valid statement...umenikumbusha mbali sana ujue.
Nakumbuka kuna siku tulikuwa tunatoroka mara ghafla akaja mwalimu mmoja ivi mfupii (nmemsahau jina) alikuwa anafundisha watu basic maths akatukuta sa ile tunajishauri tufanyeje akasema, "Piteni harakaharaka basi na si tupite!"
Dah tulichokaje...
Yani yule ticha alikua mlevi balaa mpaka Brother peter Lyimo alikua anamnyima kutoka nje mchana....
Dah majengo!!!:majani7:
 
Last edited by a moderator:

huyo atakuwa nni mwalimu 'rocky'.....si kalikuw kanywaji sana ka pombe?
 
Dah valid statement...umenikumbusha mbali sana ujue.
Nakumbuka kuna siku tulikuwa tunatoroka mara ghafla akaja mwalimu mmoja ivi mfupii (nmemsahau jina) alikuwa anafundisha watu basic maths akatukuta sa ile tunajishauri tufanyeje akasema, "Piteni harakaharaka basi na si tupite!"
Dah tulichokaje...
Yani yule ticha alikua mlevi balaa mpaka Brother peter Lyimo alikua anamnyima kutoka nje mchana....
Dah majengo!!!:majani7:

hah hah hah....huyo ni roki tu...walimfukuzaga nasikia...nsikia kamechoka kweli ...dah Mentor...brother lyimo kaifanya ile shule kama yake binafsi nasikia
 
Yaaaaaaa...Mr. Rocky...kumbe alifukuzwa daah...yule mwalimu bana angeachaga pombe, bangi, sigara na wake za watu angekuwa bonge la ticha!!!

Weee usimuongelee kabisa Peter lyimo bana....bila yeye mimi wala nsingefaulu aisee...yule brother amesaidia maana wengi wetu tulikuwa crooks kabisa ila ukifikiria "Kiss the ground!" lazima uwahi shule tu...
 
Back
Top Bottom