Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by valid statement, Oct 24, 2011.

 1. v

  valid statement JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nina rafiki yangu ambae tumetoka nae mbali sana, ni zaidi ya rafiki kwangu mana tunaishi kama ndugu kabisa. Jamaa yangu ana GF wake ambae amejiandaa atamvisha pete desemba hii, na wafunge ndoa april 2012. Jamaa anampenda sana huyu binti, tatizo ni nimekuja kugundua huyu binti si MWAMINIFU KABISA kwa jamaa yangu. Nimejua hili baada ya kumfuma live akiingizwa lodge kwenda kumegwa.Hapo lodge hawana bar kubwa ila kaunta ndogo ya vinywaji va wateja wanaolala na masofa pembeni ya wageni wa vinywaji tu. Siku moja mimi nkiwa nko mapokezi kaunta nateremsha lager akaja na mwanaume wakabuku chumba, ile anajeuka akakuta namwangalia. Akaja kunisalimia kwa kweli alitetemeka sana. Mpaka kajasho kakawa kanamtoka. Na alivo na bahati mbaya, mimi hupenda kunywa hapo, so nlishamwona 3times. Mara mbili hakuniona. Nikamuuliza kiujanja mtu wa pale mapokezi kuwa huyu dada kila nkija kunywa hapa nae huja kulalaga. Yule mtu wa mapokezi akanambia, huyu dada huwa anakujaga kulala hapo mara 2 au 3 kwa kila mwezi na huyo mwanaume.
  Kwa kweli nimehuzunika sana. Jinsi ya kuanza kumwambia jamaa kuwa GF sio mwaminifu ndo inanishinda.
  Mshkaji yani kapenda kama vile amewekewa dawa.
  Wadau embu nipeni msaada wa jinsi ya kumweleza ukweli jamaa yangu huyu ajue afanyaje mapema.
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu ushauri utaupata kwenye thread flani hivi ya Bujibuji mana ni matatizo yanayofanana,kwa upande wangu kuna ushauri Afrodenz aliutoa kwamba njia nikumlengesha boyfriend wake,yaani mnajifanya mnaenda kupata moja baridi moja moto hizo sehemu bila we kumwambia chochote,so wakigongana uso kwa usoni ndo solution itapatikana.
   
 3. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chagua moja
  kupiga kimya
  au ukiona vp mlengeshe siku akienda kulala na huyo bwana
  fanya kama mpo kwenye starehe kumbe una lako jambo lkn usimwambie mojakwamoja.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  hakuna cha kuongeza hapo, uko sawa!
  Jamaa aje ahudhuria hapo counter wagongane wenyewe.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  lakini kama huyo dada kamuona rafiki wa jamaa anaweza kubadili kiwanja pia...
   
 6. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Mapenzi haya! Huff!

   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  basi kama yeye anamjali rafiki yake heri amwambie tu ukweli
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kumwambia moja kwa moja sio issue sana maana masuala ya mapenzi ndugu unaweza kumwambi ana asichukulie serious na wakaendelea na mapenzi yao utaonekana mbeya bure
  La muhimu hapo ni kuwashikisha ayaone mwenyewe haya mambo
  Duh mapenzi haya bana
   
 9. v

  valid statement JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mkuu km inawezekana naomba linki ya huo ushauri.
   
 10. v

  valid statement JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kupiga kimya itakuwa dhambi zaidi mkuu. Bora iyo ya nimlengeshe labda.
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  sijui ni kujiamini au nini? Lakini hajabadili viwanja. Mana nimemwona same place with same person 3times.
  Hapo hawajagi watu wengi kunywa, ndo mana labda anadhani haonekani.
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  yaani ndo hivo,unaenda kumwambia live baadaye unakuta wakipatana unaonekana we mbea na mnafiki halafu wote wanakuwa adui zako
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mfanyie mpango akajionee mwenyewe!
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  kabisa mkuu bora kukaa mbali san ana mambo ya wawili wapendanao maana siku kikigeuka utaonekana balaa na unaweza kusutwa mbaya
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  1. Chukua namba ya huyo jamaa wa mapokezi incase siku wakija akufahamishe in advance well you can tip him/her some little amount of money
  2. Binti anaweza kubadilisha kiwanja baada ya kuwa amegundua kuwa umeishambamba tayari
  3. Muulize jamaa yako kama anaweza akaweka GPS locator kwenye simu ili ajue GF huwa anakuwa wapi, its possible sema wengi wetu hawajui how it works

  NB: Usimwambie kuwa mimi ndio nimekupa huu ujafanja
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mdau watu wanasema ukipenda sana unakuwa kipofu. Jinsi jamaa anamwamini GF wake, sidhani kama atadhani nko siriaz. Ndo mana naomba mnambie namna ya kumwambia kwa staili asijeniona mi mmbea.
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  nikiomba namba ya simu ili anipe taarifa za huyo demu sio rahisi anipe, mana hapo ni kama anafukuza wateja. Na wala sikumwambia mtu wa kaunta kuwa namfahamu huyo demu.
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndo maana nimekuambia unaweza kuja onekana mbeya baadae na mnafiki wawili wanpendanao watakapotupilia mbali tuhuma zako na kuendelea na mambo yao
  Kuwa makini sana bora umkamatishe moja kwa moja ajionee mwenyewe na siku unaenda kufanya hayo wala haina haja kumwambia ni yeye ajionee mwenyewe na wewe vile vile unajifanya kushangaa na kushtuka
  Ila unamwambia mimi nakuja hapa kwa starehe zangu ila hujawahi kushuhudia hayo
   
 19. v

  valid statement JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  nikiomba namba ya simu ili anipe taarifa za huyo demu sio rahisi anipe, mana hapo ni kama anafukuza wateja. Na wala sikumwambia mtu wa kaunta kuwa namfahamu huyo demu. Gps locator tena? Mi nshampaga angalizo la juu juu kuwa, embu mpelele GF wako, mwenyewe mbishi kweli.
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  I feel your dilemma juu ya hili............pole zake jamaa yako!
   
Loading...