valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 895
Kwa wale mliokuja/ mnaokuja/mtakaokuja moshi kwa ajili ya siku kuu hii.
Napenda niwape tahadhari mapema. Muwe makini na wizi, moshi kuna mbinu tofauti kabisa za wizi. usijesema wewe mtoto wa born dar siibiwagi. Vibaka ni wengi kila kona. Na wanaiba kwa teknek za kichina,hushtuki unapoibiwa, unashtuka ukishaibiwa.
Kwa wanaokuja na mabasi muwe makini stand pale wakati mnashuka kutafuta magari ya kwenda vijijini.
Usichafue mji, kuna askari mgambo kila hatua, ukitema mate, dondosha karatasi ya vocha au chupa ya maji, UMEKWISHA.Elfu hamsini itakuhusu.
Kwa mnaokuja na usafiri binafsi, muwe makini na carwash mnazoenda, usiache kitu cha maana kwenye gari usijelizwa bure!
Maandalizi mema ya krismas na mwaka mpya. Wasalimieni kijijini kwenu.