Kuchagua kinywaji cha kunywa, muda, eneo au tukio vinanishinda.!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchagua kinywaji cha kunywa, muda, eneo au tukio vinanishinda.!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by valid statement, Mar 6, 2012.

 1. v

  valid statement JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wadau sijui ni ushamba wangu, au ni kutokuelewa.
  Suala la vinywaji kuendana na tukio, mlo, wakati au sehemu, linanipiga chenga.
  Inawezekana mezani tumemaliza kula, kila mtu akiwa na glass yake ya juice mezani, mi najikuta peke yangu ndio nna lager mkononi. Jioni utakuta watu wanakamua scotch, mi bado ni ntaitisha lager. Wadau wakiwa wameshika green botle wote, mi ntajikuta tu peke yangu nna chupa ya serengeti.
  Kwa kweli hili suala la kinywaji kipi kitumike wakati upi, linaniabisha sasa.
  Wanajamvi, embu nisaidieni maana penye wengi pana mawazo mengi. Kinywaji kipi kinaendana na nini( mda, sehemu na wakati). Huwa kuna aina za vinywaji vina sehemu yake na aina yake?
  Au huwa ni coicidence tu??
  Embu mniondoe kwenye hili suala la kusema bia bia lebo jina ,leta bia yeyote baridi kwenye friji. .
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mmenipotezea kujibu, au huu swali nalo ni msamiati kwenu?
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mi nakushauri ufuate ni kitu gani roho yako inataka..

  Usifuate wenzio wanachofanya ama wanachotaka....

  Jiamini wewe ni mkamilifu kabisa bila wao..

  Wala usijisumbue wala kuisumbua akili yako..
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahaah! Pole mdau kwa kupotezewa, ila watakuja kukushauri.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe unapenda kufuata au kufuatwa?
  Wewe ni bendera au ni upepo?

  Fanya kinachovutia na sio kinachovutia wengine.
   
 6. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Kunywa unachopenda at anytime, sifkiri km kuna fomula.
  Kuna watu wengine waakimaliza kula LAZIMA wanywe kahawa, haya wewe haya utayaweza?
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ishi unavyoweza wewe, usiishi kama wanavyotaka wao. Ni mtazamo tu.
   
 8. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Follow ur heart disire, mi nakunywa soda (fanta) au juice evry morning instead of coffee o tea.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wewe kunywa vile unavyojisikia.... Pesa yako bado uangalie wenzio wanakunywa nini allllaaaaaa!!!!
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  nilijua unataka ushauriwe kuhusu kinywaji kumbe ni mambo
  yale yetu bana.
  jitahidi kwenda na wakati, tatizo ni hivi vitu vya kujifunza
  uzeeni unakuwa hujui hata unachokipenda.
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wakati mwengine lazima uangalie wenzako wanafanyaje.
  Sherehe ya watu wote kuvaa kanzu, unapovaa suti peke yako watu wanakushangaa. Kwani hujui?
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nieleweshe niende na wakati.Bado sijachelewa nadhani.
   
 13. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Umeshasema sherehe,nyingi huwa zinakua ni official so in one way o another zinakua pia na dressing-code.
   
 14. v

  valid statement JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Lakini kweli.
  Ila mdau, kuna wakati unajiona kama hujui vilaji.Unakuwa kama mshamba flan hivi.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Pole, kama wewe unalalamika
  basi mie ni allien, maana upande wa vinywaji niko hovyo sana.
   
 16. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli inabidi kutulia na kutafakari kabla ya kupost..

  Sasa jamani kwa nini usiwe huru na mienendo yako ili mradi hauwi kero kwa wenzako?

  Na mtu anapost kulinganisha mwaliko wa masheikh na mtoko wa valid statement..
   
Loading...