Search results

  1. K

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Kuna ubaya gani mtu akipata ABC?
  2. K

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Ni currency za wapi hizo KSD?
  3. K

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Hicho kiwanda inasemekana kiko mkoani Tanga. Wife kaitwa kwenye interview nafasi ya sales, kuna anaowafahamu hao jamaa na scales zao za malipo?
  4. K

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Kumbe pisi kali
  5. K

    Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Ofcoz sikua ile tilalila, ila tulikua tushakata bapa mbili mkuu, so naweza kusema nilikua niko vyombo kiaina
  6. K

    Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Maswali ya kawaida tu kuhusu kazi husika
  7. K

    Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Ilikua mwaka flan bana, nikiwa niko tu jobless nikapokea call kutoka kwa recruitment agent kuwa kavutiwa na cv yangu hivyo anataka kusikia mawili matatu kutoka kwangu kabla ya kutuma cv yangu kwa client wao.well tulifanya nae fresh akanielewa then akaituma kwa client wake. Yule client wake...
  8. K

    Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

    Habari wakuu, Kuna observation nimekuwa naifanya, nimegundua wanawake wengi wanaovaa shanga kiuononi ni malaya waliokubuhu. Asanteni
  9. K

    Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    hii ngoma haijasahihishwa,walichofanya wamechukua sample ya watu wachache kwenda oral ili kujidai kuwa walifanyisha watu usahili,majibu ya oral hawatayapublish wataitana kwa vimemo tu,wakiulizwa watasema waliwapigia wahusika simu na kuwatumia e-mail.hii ndio bongoland.mtihani ulikua mrahisa sana...
  10. K

    Mshahara wa Afisa Mikopo unaweza kuwa kiasi gani?

    hiyo kazi jiandae kucheza kung fu,maana wakopaji huwa hatulipi bila kupigana ngumi
  11. K

    Tuliosoma elimu ya chuo kikuu tukiwa na umri mkubwa tukutane hapa

    nishamaliza siku mingi,sahivi niko sehemu sio haba napata ridhiki yangu ya kila siku
  12. K

    Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

    Kwa observation zangu ni: 1. Kilimanjaro 2. Mara 3. Geita 4. Iringa 5. Songwe 6. Pwani 7. Morogoro NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
  13. K

    Jana nilikunywa pombe then nikanunua mayai ya kuchemsha nikala, saivi najamba mashuzi yananuka hatari

    Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi. Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala. Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii. Naomba ushauri...
  14. K

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Nashukuru kwa hilo,bro alijiongeza
  15. K

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Enzi ya uhai alikua na hadhi yake kwa kweli,gari la serikali lenye mafuta full tank muda wote.ila leo nashangaa anaogeshwa na wananchi wa kawaida kabisa kule kijijini. Wale maboss waliokua kila muda wako home kwake osterbay siwaoni hata wakishiriki shughuli yoyote ya mazishi zaidi ya kuaga...
  16. K

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Kaka yangu amefariki last two weeks. Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani. Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu...
Back
Top Bottom