Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
Kuna baadhi ya shughuli zinazo tupa mkate wa kila siku zinasababisha umalaya au kuchochea kuchepuka.
Sio wote kuna baadhi wanazitumia kama fursa kwa lengo lao maalumu.
1. Bodaboda
2. Wapaka rangi na kusafisha miguu
3. wafanya masaji
4. Wapeleka chakula saiti
5. Waganga
6. Viongozi wa dini
7...
Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa kutupwa!
Katika kusisitiza hilo, amesema wasichana wanaingia kwenye urembo wakiwa hawana kitu na...
Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya.
https://x.com/i/status/2037994015094714505
My Take
Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi...
Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu.
Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli.
Utakuwa huru na dhambi zote za duniani.
Hutozini.
Hutolewi.
Hutofanya umalaya.
Hutokuwa mmbea.
Hutokuwa msengenya.
Hutokuwa mfura.
Hutofanya dhambi.
Kwa kifupi, ukisikia dhambi...
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Zamani za kale walikuwa wanawasingizia wanawake wa eneo wanaokula ndizi kwa saana.
Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza na kufanya umalaya.
Kuuliza nikaambiwa eti ni kawaida yao karibu senta zote eneo la wilaya hiyo...
Hamjambo!
Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya.
Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo;
1. Je tabia asili yake ni ipi?
2. Je mambo gani huathiri...
Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu
Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
karibuni
kuacha
kuacha pombe
kujenga tabia mpya
kujiboresha
kujitambua
life habits
maamuzi ya maisha
maendeleo binafsi
mafanikio binafsi
motivation
nafsi
nguvu ya akili
nyingine
pombe
psychology
sayansi ya tabia
self improvement
tabia
tabia njema
tunakwama
ubongo wa binadamu
umalaya
wapi
Jana hapa mtaani kwetu tumemzika mmama mmoja mwenye miaka 35 baada ya kujaribu kutoa mimba.
Ni hivi huyu mama alikuwa na mme wake ambaye ni raia wa uganda sasa mme wa huyo dada akaondoka kwenda nyumbani kwao Uganda nadhani kuna miradi yao waliyo kuwa wamewekeza huko hivyo alienda...
Habari waheshmiwa.
Straight ti the point.
Kuna kinyago wanaume wengi wamekichonga wenyewe na kina watesa pasipo kuelewa. Hiki kinyago kinaitwa " PESA YA MATUNZO" au HUDUMA.
Unakuta mwanamke ata kujihudumia tu mwenyewe ata kusafisha kucha hawezi na we na vihela vyako unambeba. Atafurahi ukiwa...
Jaribio la kimatibabu la HIV lililofanyika barani Afrika limeonesha kuwa baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa muda mrefu baada ya kupokea matibabu ya mchanganyiko, jambo linaloashiria hatua kubwa kuelekea tiba ya...
Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara.
Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa...
Narrative kama..
"Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu"
"Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi"
"Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka"
"Sitaki niolewe then nipelekeshwe"
Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+.....
Plus umalaya wa kutosha...
Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu.
Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo!
Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa kawaida ambapo huu ni umalaya wa kisiasa uliohalalishwa ili kuvinufaisha au kuvidhoofisha vyama?
Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi,
Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k. utahangaika sana, Tatizo sio mwili bali ni akili, mtu anaamua mwenyewe kwa hiari yake.
Dawa za...
Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza.
Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza tu ili ajikimu yeye na familia yake hakufanya hivyo.
Ingawa wengi wa mademu hawa wakikuambia mitaa...
Hiki kisa kimenisikitisha sana.
Kuna jamaa yangu na rafiki yangu kitambo toka 1980's kule Morogoro na tulianza biashara naye za kuuza/kuchukua Sigara kwenye treni kipindi hiko.
Mambo yakatunyookea tukaanza kufanya biashara za Mahindi kwenye mikoa ya Songea na Morogoro. Mwaka 1997 jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.