Search results

  1. Nebuchadinezzer

    Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye. Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively. Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani. Suala la...
  2. Nebuchadinezzer

    Why now? Why now?

    1. Sabaya kuwa huru.. Why now why now 2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa Why now why now 3. Wimbo wa Diamond kufungiwa Why now why now 4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa.. Why now why now 5. Ufisadi MSD Why now... MAJIBU.. 1. Ruby zetu...
  3. Nebuchadinezzer

    Serikali shughulikieni wauza madawa...hawa ndio chanzo cha panya roads.

    Kiini cha PanyaRoads ni madawa ya kulevya...solution kuua wauza madawa hii ina maana kuua wengi wa wadhamini wa CCM au Royal Tour. Na huu ndio ukweli...
  4. Nebuchadinezzer

    Rai yangu kushughulikia Panya Road

    Panya roads inabidi wapigwe wakamatwe ila wasiuwawe. Kumbukeni kwa hali ilivyo nchini hawa watoto ni wakuwaonea huruma. Wenzao wazazi wao wanawatimizia mahitaji yote muhimu, chakula, malazi na mavazi, wao wanajitegemea kwa sababu baadhi yao hawana wazazi, au maisha magumu nyumbani. Wale ni...
  5. Nebuchadinezzer

    Africa tulizeni Mishono Kuhusu Yanayoendelea Ukraine.

    Wabongo wengi kama walivyo Waafrika ni wajuaji mdomoni lakini kichwani empty. Unakuta mtu anaelezea namna gani Ukraine itashinda vita utafikiri hiyo akili anayo. "Mara Ooh kosa kubwa la Urusi nikupeleka vikosi vingi Ukraine, " Mtu mwenyewe anaeongea hivyo, Nyie nchi yenu kila siku vitu...
  6. Nebuchadinezzer

    Waathirika Wana-Mara Bilioni Moja Wagawane NEMC

    Nianze kwa kuseema, Madhara yaliyotokana na sumu kali ndani ya mto Mara ni makubwa sana. Yataathiri kizazi hiki na kijacho. Tutegeme kuona kesi za kansa zikizidi kushamiri kanda ya ziwa siku za Usoni. Mwanzo serikali ilisema hali ya hewa ndio iliyopelekea maelfu ya samaki kufa ndani ya mto...
  7. Nebuchadinezzer

    Swali gumu aliloulizwa Rais Samia nchini Marekani

    Nimefuatlia interview kadhaa anazofanya Rais wetu wa KIKATIBA nimegundua wazungu wanatudharau sana! Kwanza mama Samia kaanza kwa kusema amefanya makubwa sana ikiwemo kutoa ajira kwa sekta ya ualimu na afya (Nikagundua kumbe ajira za hivi karibuni zimetolewa kwa sababu maalum ya kufanya...
  8. Nebuchadinezzer

    Wanajaribu kumchafua Hayati Dkt. Magufuli lakini hachafuki!

    Leo alfajiri nilipokuwa napitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali, nimekutana na kichwa cha habari kilichonistajabisha sana...eti "Ufisadi Mkubwa Awamu ya Tano" Kinachinishangaza ni kuwa "watendaji wakuu wa awamu ya tano, ni wale wale wa awamu ya sita" wakiongozwa na Bibi Samia...
  9. Nebuchadinezzer

    Hii logic imekaaje kuhusu siku sahihi ya ibada?

    Wakristo wengi uabudu jumapili kama siku ya ibada. Wakristo wengi uaminishwa kuwa Wayahudi ni watu wateule wa Mungu. Taifa la Mungu Wayahudi ufanya ibada siku ya Jumamosi. Kwanini wakristo hawaabudu Jmosi kama Wafanyavyo Wayahudi? Na ukienda makanisa mengi unakuta hadi bendera za Israel...
  10. Nebuchadinezzer

    Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

    Leo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo. Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto Mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara. Serikali ipo wapi? Hii issue...
  11. Nebuchadinezzer

    Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

    Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja. Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
  12. Nebuchadinezzer

    Watu wa Ukraine ni bora Kuliko Wa-Palestina?

    Hivi kipindi kile Wayahudi wanavamia aridhi ya Wapalestina, Marekani na washirika wake wa NATO walikuwa wapi kutetea mamilioni ya Wapelestina waliokosa Makazi na kunyanyaswa na Wayahudu? Leo Mrusi anaingia vitani kutetea usalama wa mipaka yake...naona kila mtu mdomo umedinda! Nashangaa baadhi...
  13. Nebuchadinezzer

    Liko wapi somo la historia ya Tanzania?

    Awamu iliyopita chini ya kiongozi shupavu mzalendo na mwana-mapinduzi halisi ya Africa. Ndgu/Mwl/Dr. John Pombe Joseph Magufuli ilipigania sana somo hili la historia ya Tanzania. Lengo lilikuwa ni kufuta pumba za mkoloni tulizopandikiziwa toka uhuru ili kuweka ndani ya vizazi vyetu historia...
  14. Nebuchadinezzer

    Nyuma ya trending kuna nini?

    1. Nchi imekopa trioni 10 ndani ya miezi 9 2. Spika ajiuzuru 3. Ajali (Waandishi wa habari wanakufa) 4. Soko laungua 5. Mama anasema anamjua aliyechoma 6. Dogo anasema waliochoma ni mateja 7. Picha za utupu zavuja zinazowaweka watu njia panda ya kuwa ni yeye au sio yeye. 8. Uzi wa Neb...
  15. Nebuchadinezzer

    Rais na aheshimiwe na watu wote

    Binafsi sijapendezwa na kauli za baadhi ya viongozi waandamizi zinazokinzana na matendo na maamuzi ya mheshimiwa rais. Viongozi mna nafasi kubwa ya kukutana na rais na kumshauri masuala mbalimbali yenye masilahi...haipendezi kutoa matamka ya kumpinga Rais mbele ya wananchi mnabomoa na sio...
  16. Nebuchadinezzer

    Leo nimejiunga rasmi na Kanisa la Askofu Gwajima

    Leo sina mengi ya kuwaelezeni mwezi uliopita nilijiunga na kanisa la SDA (Wasabato) ni kanisa moja zuri sana na bora kuwahi kusali..lina mafundisho mema na yanayofaa kwa maisha ya hapa duniani na huko baada ya ufufuo. Leo nimeamua kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima kwa sababu kuu 3: 1. Katika...
  17. Nebuchadinezzer

    #COVID19 Suala la Chanjo: Kwanini Askofu Gwajima anaandamwa?

    Haya yote yanaibuka kwa sababu anaeleza anachokiamini, na ambacho dunia nzima inakijua juu ya hiki mnachokiita chanjo? Hivi ni kweli ninyi mnataka kuniambia hamjasoma utata uliopo kwenye hizi chanjo za mwendokasi? Hamjui kwamba kuna watu wanachomwa chanjo kwa sabbu tu hawana choice baada ya...
  18. Nebuchadinezzer

    #COVID19 Zikijibiwa hizi hoja, naenda kuchanjwa!

    Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo. Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.? Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo...
  19. Nebuchadinezzer

    Dotto Biteko, kuwafukuza wana Chunya kwenye eneo lao la machimbo ni unafiki

    Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo! Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao waliokuwa wanachimba eti walimdanganya rais. Wewe kama msaidizi wa rais, iweje ukubali bosi wako...
  20. Nebuchadinezzer

    #COVID19 Mpango madhubuti nyuma ya uhiari wa chanjo ya COVID19

    "Kama chanjo ya COVID ni suala la hiari, kwanini bila kuchanjwa chanjo siruhusiwi kutoka nje ya Afrika?" Siku ikitokea idadi kubwa ya wanadamu Afrika wamechanjwa, itakuwa ni ngumu sana kwa mtu ambae hajachanjwa kutoka nchi moja kwenda nyingine Afrika. "Chanjo sio biashara, ingekuwa ni...
Back
Top Bottom