Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Leo sina mengi ya kuwaelezeni mwezi uliopita nilijiunga na kanisa la SDA (Wasabato) ni kanisa moja zuri sana na bora kuwahi kusali..lina mafundisho mema na yanayofaa kwa maisha ya hapa duniani na huko baada ya ufufuo.
Leo nimeamua kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima kwa sababu kuu 3:
1. Katika maisha yangu sipendi mtu mnafiki. Gwajima ni kiongozi mwenye misimamo thabiti isiyoyumbishwa mithili ya mawimbi.
2. Mimi ni mfuasi wa SUKUMA GANG (Watanzania tunaoishi kwa falsafa hayati Dr. Magufuli na misimamo yake) Gwajima ndie kiongozi wetu.
3. Na uhuru wa kuamua chochote juu ya mwili wangu, roho yangu na nafsi yangu.