#COVID19 Zikijibiwa hizi hoja, naenda kuchanjwa!

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo.

Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.?

Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99?

Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho?

Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.

Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr

Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
 
Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........

Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??

Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??

Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??

Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake

Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr

Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
Kitendo cha SERIKALI KUKATAA KUWAJIBIKA KWA MADHARA YA CHANJO NDIO KINATIA MASHAKA WATU KUCHANJWA KWANINI SERIKALI IKATAE?
 
We wala usichanjwe kaa tu.

1. Matumizi ya condom na net ni hiyari sio lazima lakini umewahi kuhoji nguvu kubwa inayotumika kutaka watu watumie? Unajua ni mamilioni mangapi ya shilingi yanatumika kujenga uelewa wa watu kutumia condom? Unadhani kwanini kama sio kutaka kulinda watu wagumu kama wewe

2. Umewahi kuwa na ndugu yako wa karibu anaingia kufanyiwa upasuaji hospitali ukatakiwa kusaini form ya kujitwisha mzigo na si hospitali, Dokta wala serekali? Kwanini unashangaa kwenye chanjo ya korona.
 
Chadema mna kinyesi kichwani
Sasa Nani kakufuata ukachanjwe,au unaropoka tuh uwonekane
We ukichapa shuhuli zako za kukuongezea pato Nani anakufuata ukachanje Kama hutaki
 
Chadema mna kinyesi kichwani
Sasa Nani kakufuata ukachanjwe,au unaropoka tuh uwonekane
We ukichapa shuhuli zako za kukuongezea pato Nani anakufuata ukachanje Kama hutaki
wewe una kichwa mdomoni mbona hatusemi.
 
ASAVALI ... chanjo zenyewe hazitoshi kwanza, ... labda mimi nitawahi wakati wewe na jamaa zako mnangojea kujibiwa hoja!
1627723618550.png

Wimbo!: 🎤🎼🎹🎼🎹🎤 ... lelaga'noooo ... tolakudekeli'ikela lya mbwa, ... ISE TOLYA LYA NG'HOLO! ... 🎹 🎼🎼🎼🎹
 
Kama chanjo ni hiari, punguzeni promo sasa. Kwani kuna mtu hajui thamani ya uhai?
 
Back
Top Bottom