Why now? Why now?

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
1. Sabaya kuwa huru..

Why now why now

2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa
Why now why now

3. Wimbo wa Diamond kufungiwa

Why now why now

4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa..

Why now why now

5. Ufisadi MSD
Why now...


MAJIBU..

1. Ruby zetu zilifikaje Dubai?
2. Billions za Royo tua.

Hello Piraaaa...
Me too.
 
mjadala wa hali ngumu ya maisha na mafuta hauwezi kubadilishwa na hayo matukio ,raia sasa wanajionea wenyewe jinsi majibu ya kifedhuli yanavyotolewa kwa vitu serious kabisa, waziri anajibu kwamba sisi hatuchimbi mafuta?
 
mjadala wa hali ngumu ya maisha na mafuta hauwezi kubadilishwa na hayo matukio ,raia sasa wanajionea wenyewe jinsi majibu ya kifedhuli yanavyotolewa kwa vitu serious kabisa, waziri anajibu kwamba sisi hatuchimbi mafuta WTF?
Hamia burundi kama unaona yamekushinda😁
 
1. Sabaya kuwa huru..

Why now why now

2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa
Why now why now

3. Wimbo wa Diamond kufungiwa

Why now why now

4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa..

Why now why now

5. Ufisadi MSD
Why now...


MAJIBU..

1. Ruby zetu zilifikaje Dubai?
2. Billions za Royo tua.

Hello Piraaaa...
Me too.
Corticopontine, Nigrastarata, Nebukadneza Ccm mbere kwa mbereeee!!!!!

Kibao kimegeuka😁😁
 
1. Sabaya kuwa huru..

Why now why now

2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa
Why now why now

3. Wimbo wa Diamond kufungiwa

Why now why now

4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa..

Why now why now

5. Ufisadi MSD
Why now...


MAJIBU..

1. Ruby zetu zilifikaje Dubai?
2. Billions za Royo tua.

Hello Piraaaa...
Me too.
...
Moto wa KATIBA MPYAA

TIndiga la WEMBERE...
 
"Yeah me toooooo" huku kamlegezea sauti mhuni mmoja aitwae Pirraaaaaaah wakielekea vichakani 😂
 
Back
Top Bottom