Africa tulizeni Mishono Kuhusu Yanayoendelea Ukraine.

Africa tulizeni Mishono Kuhusu Yanayoendelea Ukraine.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,550
Wabongo wengi kama walivyo Waafrika ni wajuaji mdomoni lakini kichwani empty.

Unakuta mtu anaelezea namna gani Ukraine itashinda vita utafikiri hiyo akili anayo.

"Mara Ooh kosa kubwa la Urusi nikupeleka vikosi vingi Ukraine, " Mtu mwenyewe anaeongea hivyo,

Nyie nchi yenu kila siku vitu vinapanda bei, maisha yamekuwa ghali, mkihoji mnaambiwa mhamie Burundi. Mmetulia tu kama Makondoo.

Leo kila mmoja anajifanya anajua intelligence ya NATO na Russia.

Acheni mbwembwe za ujuaji wanaume wanapigana. Nyie tulieni mshuhudie yanayojili.
 
Mishono iliyosababishwa na kifo cha P
Lumumba, Gadafi, Sankara n.k
 
Unatupwngia cha kufanya si ndio.
Bando unatununulia si ndio.
Unataka tutulize mshono si ndio.
Mshono upi wa dela si ndio.
Au hujui kwamba bongo bahati mbaya si ndio.
Kama inauma vaa uende.
 
Back
Top Bottom