Search results

  1. STRUGGLE MAN

    Trump anahofia kuungana Saudi Arabia, Iran, China na Russia

    Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na...
  2. STRUGGLE MAN

    Madan Kadyrov: Atakayemkabidhisha Askari wa Ukraine alieivunjia heshima Qur-an kuzawadiwa $168,000

    Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000 Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble milioni 10 za Kirusi ambazo ni sawa na dola 168,000 za Kimarekani kwa atakayefanikisha kukamatwa akiwa...
  3. STRUGGLE MAN

    Undumilakuwili wa nchi za Magharibi [emoji23]

    Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita...
  4. STRUGGLE MAN

    Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
  5. STRUGGLE MAN

    Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

    Hii sheria inapitishwa miongoni mwa malengo ni kulinda watoto juu ya kuathiriwa na maswala yanayohusiana na LGBT nchini Urusi. Tumeona nchi kama Belarus wangese wamepigwa marufuku kabisa. Tukumbuke pia tokea hii operation ianze LGBT walikua wakipiga vita Urusi na kufikia kuchoma hata bendera...
  6. STRUGGLE MAN

    Urusi imeshajiandaa na hatua za kuichukulia hatua Lithuania

    Moscow imekamilisha maandalizi yake ya hatua za kukabiliana na Lithuania na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuzuia usafiri wa kwenda Kaliningrad na itaanza kuzitekeleza ikiwa hali haitakuwa sawa katika siku chache zijazo, alisema msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova ...
  7. STRUGGLE MAN

    Poland yasema haina mafuta ya bure ya kuipatia Ukraine

    Vita vimeiharibu vibaya Ukraine, sasa Poland imeikatia mafuta ya bure. Wakati nchi za Ulaya zikiendelea kudai kuwa ziko pamoja na Ukraine kwa hali na mali na kwamba ziko tayari kuisaidia nchi hiyo iwapo Russia itafunga bomba lake la gesi isiingie Ukraine, sasa hivi nchi jiran ya Poland imesema...
  8. STRUGGLE MAN

    Iran yajibu malalamiko ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu kukamata meli mbili za Ugiriki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
  9. STRUGGLE MAN

    Mateka wa Ukrain na NATO wasafirishwa kwa mabasi chini ya ulinzi mkali

    Kuna kundi la watu muhimu sana walikuwemo Azovistal. Hasa international mercenaries. Wamewekwa kwenye magari maalumu na kusafirishwa kuelekea Urusi. wale wa Ukraine wame sindikizwa mbele kifaru nyuma kifaru[emoji23] hawa wa nato pengine kuna ICBM kabisa Wanasafiririshwa kuelekea Urusi
  10. STRUGGLE MAN

    Leo pekeake zaidi ya majeshi 16,000 wa Ukraine wamejisalimisha kwa Majeshi wa Urusi

    Up to 16,000 Ukrainian militants fell into the “cauldron” near Severodonetsk and Lisichansk, - assistant to the head of the Ministry of Internal Affairs of the LNR On the air of Channel 1, Kiselev clarified that we are talking about 15-16 thousand enemy military. Today, the main task of the...
  11. STRUGGLE MAN

    Mpaka sasa majeruhi waliojisalimisha 51 wasafirishwa chini ya ulinzi mkali kutoka ktk kiwanda cha Azovstal

    Zoezi la kuondoa Wanajesh waliojeruhiwa linaendelea hivi sasa Azovstal. Ni baada ya Wanajeshi 10 wa Ukro-Nazi waliojisalimisha kufanya makubaliano na jeshi la Urusi kuwaondoa kwenye maandaki ya azovistal manajeshi waliobaki wakiwa wamejeruhiwa. https://t.co/twEARDx3Om Ukro-Nazi waliojeruhiwa...
  12. STRUGGLE MAN

    Moscow na Tehran zaanzisha kituo cha pamoja cha Teknolojia

    Iran na Russia zaanzisha kituo cha pamoja cha teknolojia Jamhuri ya Kiislamu ya Ira na Russia zimeanzisha kituo cha pamoja cha teknolojia kwa ajili ya kuendesha miraji ya pamoja ya ustawi na maendeleo katika uga huo. Kwa mujibu wa shirika la habari la ISNA, nchi mbili za Iran na Russia zina...
  13. STRUGGLE MAN

    Seneta wa Marekani akiri kuwa kuendelea kuisaidia Ukraine hakusaidii na ni hatari kwa Usalama wa Marekani

    Rand Paul, seneta wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amemlaumu Joe Biden kwa kuendelea kuipa Ukraine misaada ya kila namna ya kijeshi na kuonya kuwa, kitendo hicho kinahatarisha usalama wa kitaifa wa Marekani. Seneta huyo ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa, mimi...
  14. STRUGGLE MAN

    Korea Kaskazini yatuma salamu na kumpongeza Rais Putin kuahidi kuongeza ushirikiano wao madhubuti

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametuma salamu za pongezi kwa Rais Vladimir Putin baada ya kusherehekea siku ya ushindi ya Urusi, akielezea mshikamano thabiti wa nchi yake na Urusi, shirika la habari la Korea Kaskazini KCNA limeripoti. Katika barua yake iliyotumwa Urusi tarehe 9 Mei...
  15. STRUGGLE MAN

    Mwanajeshi mmoja atoa siri ya unyama waliofanyiwa wananchi wa Bucha waliouliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Watu waliokutwa wameuwawa katika mji wa Bucha, Ukraine wote walikuwa wamejifunga kitambaa cheupe mkononi kama ishara ya kuwa upande wa urusi na kuomba msaada kutoka wanajesh wa urusi. Hii maana yake ni wanazi waliamuwa kuwauwa kikatili na kusingizia Urusi. https://t.co/8EHee4NMAO Magaidi ya...
  16. STRUGGLE MAN

    Ukraine inasema Urusi ikiondoa jeshi nchini humo hawatojiunga na NATO

    Wale wazee wa propaganda na kutunga mada za urongo humu kigwendu wenu huku anaomba Urusi kutoa jeshi lake maji yamemfika kwenye shingo anamaanisha kichapo kisimamishwe Hii imetokana na wengi wa wanajeshi na mamluki kutoka nje ya Ukraine kujisalimisha katika miji mbalimbali kwa majeshi ya Urusi...
  17. STRUGGLE MAN

    Iran yashambulia kambi za Marekani kwa Ballistic Missiles 12 wanazosema zinatumiwa na Mossad nchini Iraq

    Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya...
  18. STRUGGLE MAN

    TANZIA Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home

    BREAKING: Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home. Cause of death is unknown May God bless her soul[emoji257] === MIDWOOD, Brooklyn (WABC) -- Malikah Shabazz, a daughter of Malcolm X, was found dead in her Brooklyn home Monday, according to police...
  19. STRUGGLE MAN

    Rais Putin aeleza uhusiano wake na Iran na kusisitiza kustawishwa kwa uhusiano na ushirikiano wa nchi mbili

    Mazungumzo ya Marais wa Iran na Russia, sisitizo la kustawisha zaidi uhusiano na ushirikiano wa nchi mbili Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya mazungumzo ya simu na Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuashiria mwelekeo chanya wa kupandisha juu kiwango cha ushirikiano...
  20. STRUGGLE MAN

    Leo hii Marekani yajaribu kuteka meli ya mafuta ya Iran, Iran yaichukua meli yao kwa kutumia kikosi maalum cha Makomando katika pwani ya Oman

    Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Nov 03, 2021 11:25 UTC Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Operesheni makinii na iliyochukiwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi...
Back
Top Bottom