Iran yashambulia kambi za Marekani kwa Ballistic Missiles 12 wanazosema zinatumiwa na Mossad nchini Iraq

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,566
Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani

NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya kukushambulia je Nato wataweza kujibu mapigo?

BREAKING: Reports of multiple Fateh-110 short-range ballistic missiles striking the US base in Erbil, Iraq

#BREAKING: Ballistic missile strikes reported on US airbase in northern Iraq, near Erbil
20220312_233143.jpg

20220312_231840.jpg
 
Iran hata kama ni kweli lakini kuwaamini moja kwa moja ni ngumu, wana mzaha sana
Kuna baadhi wanasema katumwa na Putin, kambi hizi zilikua zikishambuliwa na viroketi kutoka kwa wanamgambo kipindi cha nyuma ila jana Iran kapiga kabisa direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi hizo kwa short range Ballistic Missiles, air defense kutungua ballistic missiles ni ngumu sana kutokana na speed yake
 
Ila naye Iran kaamua kabisa kuwa sababu ya WW3 kizembe hivi?
 
Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani

NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya kukushambulia je Nato wataweza kujibu mapigo?

BREAKING: Reports of multiple Fateh-110 short-range ballistic missiles striking the US base in Erbil, Iraq

#BREAKING: Ballistic missile strikes reported on US airbase in northern Iraq, near Erbil
View attachment 2148745

View attachment 2148746
Wenye akili wanajuwa kila kitu... Keep cool high and top renk leader soon will die from different countries... just stay cool.
 
Back
Top Bottom