Mateka wa Ukrain na NATO wasafirishwa kwa mabasi chini ya ulinzi mkali

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,566
Kuna kundi la watu muhimu sana walikuwemo Azovistal. Hasa international mercenaries. Wamewekwa kwenye magari maalumu na kusafirishwa kuelekea Urusi.

wale wa Ukraine wame sindikizwa mbele kifaru nyuma kifaru hawa wa nato pengine kuna ICBM kabisa

Wanasafiririshwa kuelekea Urusi

20220517_175721.jpg
IMG_20220517_180249.jpg
 
Kuna kundi la watu muhimu sana walikuwemo Azovistal. Hasa international mercenaries. Wamewekwa kwenye magari maalumu na kusafirishwa kuelekea Urusi.
wale wa Ukraine wame sindikizwa mbele kifaru nyuma kifaru hawa wa nato pengine kuna ICBM kabisa

Wanasafiririshwa kuelekea Urusi View attachment 2228404View attachment 2228408
Yan mapro-russia wanahangaika sana ,ila swala la mda tuu mtatuacha wenyewe humu jamii forum ,maana mnashikilia hata vitu ambavyo havina mashiko ,kuna mwenzako kadai kwenye uzi wa Jana wanajeshi 15000 wa Ukraine wajisalimisha ,dah mnafel wapi ndugu zangu ,hamjiuliz mbona malengo yenu hayatimii mnazid kuboronga,au pepo la Putin limeqaingia mnaropokaropoka tuu.
 
Kwahio unataka kupinga hali halisi sio, ukweli mchungu nato nzima wanapelekeshwa sana na mzee Putin
 
Mbona NATO haijaingia direct mkuu ,unavijua vita kweli wewe? Unafikiri mnapigana kama mko baa au kwenye kamari ziko sheria za vita NATO haiwez ingilia direct hii vita ,ikiingia direct itakua uhalifu wa kivita.Toa ushahid wa NATO wapi imetuma ndege,manowar,helicopter ,vifaru ,jeshi,na mengine meng .
Ukraine kawajambisha mmeshindwa kumwondoa nduli mnarud kagera
 
Kuna kundi la watu muhimu sana walikuwemo Azovistal. Hasa international mercenaries. Wamewekwa kwenye magari maalumu na kusafirishwa kuelekea Urusi.

wale wa Ukraine wame sindikizwa mbele kifaru nyuma kifaru hawa wa nato pengine kuna ICBM kabisa

Wanasafiririshwa kuelekea Urusi

View attachment 2228404View attachment 2228408
Nimeona hicho kifaru kikiongoza mateka na waliojisalimisha wa Ukraine.
 
1652875734312.png

Ni ushindi mkubwa kwa Urusi katika vita ya Ukraine.Namuona kiongozi wa kiroho wa kiyahudi akiwa katikati ya waliojisalimisha.
Urusi wamekuwa shujaa katika mkataba wa kuwaokoa askari wa Azov kwani ameilazimisha Ukraine itamke kuwa imefunga zoezi la kuutetea mji wa Mariupol ikiwa kama kwamba wameshawaachia warusi na papo hapo askari wote watapelekwa Urusi kwa mahojiano na itakuwa ngao ya kuokoa askari wao kama wako waliotekwa na Ukraine.Ni ngawira iliyonona sana kwa Urusi.
 
Back
Top Bottom