korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini yaonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye Sekta ya maji Dar na Pwani

    Ujumbe kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini imetembelea miradi ya maji ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kujionea jinsi gani Serikali ya Korea inavyoweza kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kutoa huduma ya...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini Yaanzisha ‘Internet ya Bure’ kama haki ya msingi kwa raia kama ilivyo kwa maji na umeme

    Serikali ya Korea Kusini imekuja na mpango mpya wa kusaidia wananchi wake kupata mtandao (internet) kwa gharama nafuu na kama haki ya msingi. Hapa kuna maelezo kwa lugha rahisi: Internet ya Bure kwa Wote Serikali imeamua kuwa zaidi ya watu milioni saba nchini humo watapata huduma ya internet...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kim Jong Un kufyatua makombora leo, Rais wa Korea Kusini aliiomba radhi Korea Kaskazini. Ina maana Kim hajapokea huo msamaha?

    Wakuu, Kabla ya Korea Kaskazini kufyatua makombora leo, siku kadhaa nyumba Lee aliwaomba msamaha kwa kupandisha drone kwenye angal la Korea Kaskazini. Inavyoonekana Kim anataka sana ugomvi utokee maana kama uliombwa msamaha tena na Rais unatest makombora ya nini sasa? ======= Rais wa Korea...
  5. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM, Korea Kusini na UNICEF waimarisha ufundishaji wa Sayansi Tanzania kupitia mafunzo ya kisasa ya STEM

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kikiwa na ufadhili wa Serikali ya Korea ya Kusini kupitia KOICA na uratibu wa UNICEF, kimetoa mafunzo maalum ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kwa walimu wa shule za sekondari kutoka mikoa...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Haki haipotei, huchelewa tu. Rais wa South Korea aomba radhi na kuahidi fidia kwa wanaharakati walioathirika na maandamano ya 1960

    Wakuu, Rais wa South Korea, Lee Jae-myung, amesema serikali itaongeza juhudi za kuwatambua wanaharakati zaidi walioshiriki katika harakati za demokrasia za miaka ya 1960 na kuhakikisha wanapata fidia na kutambuliwa ipasavyo. Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 66 ya March 15 Democracy...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bibi wa miaka 85 ahitimu masomo ya chuo kikuu huko Korea Kusini. Wewe nini kinakufanya usiende kusoma?

    Wakuu, Kim Jeong-ja, mwenye umri wa miaka 85, alivutia wengi mwaka 2024 baada ya kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi kufanya mtihani wa kitaifa wa kujiunga na chuo. Mwaka huu 2025 amehitimu na stashahada ya ushirika katika masomo ya ustawi wa jamii kutoka Taasisi ya Elimu Endelevu ya Sookmyung...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Korea Kusini aliyehukumiwa kifungo cha maisha jela aomba radhi kwa kuvamia Bunge

    Wakuu, Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, Ijumaa aliomba radhi kwa kwa hekaheka zilizojitokeza kufuatia uamuzi wake wa muda mfupi wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka 2024, Yoon alitoa kauli hiyo siku moja baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Korea Kusini, Han Duck-soo ahukumiwa jela miaka 23

    Mahakama ya Korea Kusini imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu, Han Duck-soo, kifungo cha miaka 23 jela kwa makosa yaliyohusisha uasi wa kikatiba, yakihusiana na tamko la sheria ya kijeshi lililotolewa na aliyekuwa Rais Yoon Suk Yeol Desemba 2024. Han (76) amekuwa waziri wa kwanza wa zamani katika...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jumong: Somo kubwa kwa Tanzania kuhusu kulinda urithi wetu wa kihistoria kupitia filamu

    Kwa watu wengi barani Afrika, Ulaya na Amerika, neno Jumong sio kitu kigeni ilikuwa ni mfululizo wa tamthilia kutoka Korea Kusini*?, ambayo ilipata kusimulia simulizi za kifalme ndani yake ikiwa na mapenzi, vita na migogoro ya kifalme. Lakini kwa wananchi wa Korea Kusini, Jumong haikuwa tu...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gangnam Style: Muziki wa Korea Ulioburudisha Dunia Yote

    Mwaka 2012, dunia ilishuhudia tukio la kipekee katika historia ya muziki wa kimataifa. Wimbo wa “Gangnam Style” ulioimbwa na msanii wa Korea Kusini, PSY, ulivutia hisia na kujenga wimbi kubwa la furaha, kucheka, na kuigiza mtindo ya kipekee wa kucheza ambayo ulipendwa na dunia nzima. Hata bila...
  12. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye nchi yangu ya ahadi sasa natamani nikapate changamoto mpya kwenye nchi za watu.Naomba ushauri wenu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani Korea Kusini anakabiliwa na kesi ya tuhuma za Ufisadi

    Mke wa aliyekua Rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, alifika mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili kilichodumu saa tano, lakini hakimu hajatoa uamuzi kuhusu ombi la waendesha mashtaka la kutaka kibali cha kumkamata kwa tuhuma za ufisadi Anakabiliwa na mashtaka yanayoweza kumfunga miaka kadhaa...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yaonya kuwa ‘itajibu’ mazoezi ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekan

    Korea Kaskazini imekosea mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Korea Kusini na Marekani kama "uchochezi wa moja kwa moja wa kijeshi" na kuonya kuwa itachukua hatu za kujibu. Onyo hilo linakuja huku kukiwa na dalili za kupungua kwa mvutano mpakani wa nchi hizo chini ya kiongozi mpya huko Seoul...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

    Jeshi la Korea Kusini limesema mapema hii leo kwamba limeanza kuondoa vipaza sauti vilivyopo kwenye eneo la mpaka na jirani yake Korea Kaskazini, kama hatua ya kupunguza mvutano kati ya mahasimu hao. Vipaza sauti hivyo vilikuwa vikitumiwa kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini, lakini...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Korea Kusini imefuta rasmi Mashtaka yaliyokua yanamkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Samsung, Jay Y. Lee

    Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili tanzu za Samsung mwaka 2015 uliogharimu dola bilioni 8. Uamuzi huo umetupilia mbali mashitaka yote...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa forodha: Trump aweka shinikizo kwa Korea Kusini na Japani

    Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia. Kwa Washington, hii inakusudiwa kuhimiza washirika wake wengine kutia saini mikataba ya biashara...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kim Jae-gyu, mkuu wa ujasusi wa taifa aliyemuua boss wake rais Park Korea Kusini kutokana na mzozo wa kisiasa

    October 26, 1979 huko Korea Kusini kulitokea kisa cha ajabu cha mkuu wa ujasusi wa shirika la Korea Kusini(KCIA) Kim Jae-gyu kumtwanga risasi mbili boss wake rais wa Korea Kusin Park Chung-hee na bodyguard wake mkuu Cha wakiwa katika hafla ya chakula cha usiku. Inasemekana mzozo wa wawili hao...
Back
Top Bottom