Search results

  1. Gelion Kayombo

    Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
  2. Gelion Kayombo

    Vitu muhimu ambavyo hatufundishwi shule

    Kila mtu wakati fulani aliwahi kwenda shule kusoma katika kipindi fulani cha maisha yake. Iwe alisoma na kuishia darasa la nne, darasa la saba, chuo nk au hakuweza kuhitimu. Katika kusoma huko kote kwenye kila daraja ulilowahi kupita kuna vitu ulikuwa unafundishwa na kwa wakati huo uliona ni...
  3. Gelion Kayombo

    Faida Kuu 6 za kusoma kila siku na umuhimu wa kusoma kila siku baada ya kuhitimu shule au chuo

    Kusoma vitabu na machapisho mbalimbali ya kujenga kuna manufaa mengi kwa msomaji kuliko mtu wa kawaida anavyoweza kudhani. Hapa ieleweke pia, sizungumzii kusoma kwa kawaida ambako kila mtu anapitia. Nazungumzia kusoma vitu nje na vitu tulivyo soma/tunavyosoma darasani. Watu wengi huhitimisha...
  4. Gelion Kayombo

    Sababu za kuacha kutazama video za utupu

    Katika kipindi hiki; kipindi cha mtandao wa intaneti mambo yamebadilika sana kiasi kwamba mtu akiwa na simu au kompyuta yake anaweza kuingia mtandaoni kwenye kila tovuti na kurasa kupitia simu yake au kompyuta yake. Hali ambayo sasa hivi upatikanaji wa taarifa umerahisishwa sana. Mtu anaweza...
  5. Gelion Kayombo

    Unataka Uanze Kufanya Mazoezi? Uanzie wapi Kufanya Mazoezi?

    Kwa hiyo unataka uanze kufanya mazoezi ya mwili? Kwa hiyo umekuwa ukitamani sana kuanza kufanya mazoezi lakini hufanyi? Kwa hiyo umekuwa ukisema uta anza kesho kufanya mazoezi lakini kesho ikifika hufanyi mazoezi hayo au hata kama utafanya, utafanya siku mbili tatu na kuacha? Kama jibu ni ndiyo...
  6. Gelion Kayombo

    Yatatokea haya kwenye mwili wako utakapoanza kufanya mazoezi

    Mazoezi ya mwili ni muhimu kwa afya ya mwili wenyewe, kwa afya ya akili na afya ya nafsi. Mazoezi ya mwili ni muhimu kama ilivyo muhimu kula chakula kwa bindamu, hasa katika zama hizi. Lakini licha ya umuhimu huo watu wengi wamekuwa hawana mwamko wa kufanya mazoezi. Watu wengi wamekuwa...
  7. Gelion Kayombo

    Ulevi ni nini, mtu afanye nini ili aache ulevi?

    Watu wengi ni walevi siyo kwa sababu wanapenda ulevi. Ukikutana na walevi, baadhi yao utakuta wanasema “Natamani sana kuacha ulevi ila sasa kila nikijaribu kuacha nashindwa.” Watu wanaosema hivyo ujue tayari wameshakuwa watumwa wa ulevi na kwamba mara nyingi au mara kadhaa wamejaribu kuacha...
  8. Gelion Kayombo

    SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
  9. Gelion Kayombo

    Matumizi ya emoj inayoashiria upendo inavyowadanganya watu kwenye mahusiano ya mapenzi

    Moja kati ya emoj zinazotumika kama "Kichaka" cha kukimbilia na kutoa ishara batili, basi ni emoj yenye alama ya upendo ambapo imekuwa ikiandikwa kwa namna na mitindo tofauti tofauti kama ifuatavyo (💏, 😘💝❤️ 😍n.k). Emoj za namna hii zimekuwa zinatumika kwa namna na sura tofauti tofauti. Licha ya...
  10. Gelion Kayombo

    Matumizi ya emoj inayoashiria upendo inavyowadanganya watu kwenye mahusiano ya mapenzi.

    Moja kati ya emoj zinazotumika kama "Kichaka" cha kukimbilia na kutoa ishara batili, basi ni emoj yenye alama ya upendo ambapo imekuwa ikiandikwa kwa namna na mitindo tofauti tofauti kama ifuatavyo (💏, 😘💝❤️ 😍n.k). Emoj za namna hii zimekuwa zinatumika kwa namna na sura tofauti tofauti. Licha ya...
  11. Gelion Kayombo

    Matumizi ya emoj inayoashiria upendo inavyowadanganya watu kwenye mahusiano ya mapenzi.

    Moja kati ya emoj zinazotumika kama "Kichaka" cha kukimbilia na kutoa ishara batili, basi ni emoj yenye alama ya upendo ambapo imekuwa ikiandikwa kwa namna na mitindo tofauti tofauti kama ifuatavyo (💏, 😘💝❤️ 😍 n.k). Emoj za namna hii zimekuwa zinatumika kwa namna na sura tofauti tofauti. Licha ya...
  12. Gelion Kayombo

    Kufikiri kwa usahihi na kufikiri ili kutoa maoni

    Kuna tofauti kubwa kati ya kufikiri kwa usahihi (Accurate Thinking), na kufikiri ili kutoa maoni( Critical Thinking). Tofauti na maana za maneno haya ni kubwa. Na hii imekuwa inawachanganya watu wengi kutofautisha maana za maneno haya, hali inayopelekea watu wengi kushindwa kuelewa kufikiri kwa...
  13. Gelion Kayombo

    Kufikiri kwa usahihi na kufikiri ili kutoa maoni

    Kuna tofauti kubwa kati ya kufikiri kwa usahihi (Accurate Thinking), na kufikiri ili kutoa maoni( Critical Thinking). Tofauti na maana za maneno haya ni kubwa. Na hii imekuwa inawachanganya watu wengi kutofautisha maana za maneno haya, hali inayopelekea watu wengi kushindwa kuelewa kufikiri kwa...
  14. Gelion Kayombo

    Tujadili juu ya ubaguzi

    Hebu tuzungumze leo juu ya ubaguzi. Mara nyingi huwa tunasikia na kuangalia kwenye vyombo vya habari juu ya ubaguzi dhidi ya watu wengine. Mara nyingi habari zinazosikika zaidi ni kwamba watu wenye ngozi nyeupe(wazungu), wanawabagua watu wa rangi(weusi). Utasikia watu waishio nje ya bara la...
Back
Top Bottom