Search results

  1. Duniahadaa

    TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Mohamed usikatishwe tamaa na watu wachache wasiofahamu umuhimu wa historia.
  2. Duniahadaa

    Dar es Salaam: Mahakama Kuu yakataa maombi ya Tundu Lissu ya kutengua maamuzi ya Spika. Jaji asema itasababisha mgogoro Kikatiba na Bunge

    Kesi hii itumike kama rejea. Spika anaweza kufanya kazi yake bila kuingiliwa na yeyote hata Jaji
  3. Duniahadaa

    Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    LEO NI HUKUMU YA ALIYEKUWA DC MASHUHURI LENGAI OLE SABAYA. ENDAPO HUKUMU IKIAHIRISHWA TENA LEO, TUTAJUA KUNA JAMBO NYUMA YA PAZIA.
  4. Duniahadaa

    Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni. Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
  5. Duniahadaa

    Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

    hii kesi nayo bado inamsubiri atakoma jamaaa, endeleeni kumtetea pamoja na wale mabaunsa wake
  6. Duniahadaa

    PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimesikia mahojiaano yako ukisema kuwa Mkapa aliviponda vyama vya upinzani. JE, UMESOMA KITABU CHAKE? Katika kitabu hicho aliona kuwa TUME YA UCHAGUZI NI JUMUIYA YA CCM na ni kikwazo katika ustawi wa demokrasi. kwani haiwezi n haijawahi kutend haki. TUNA MAPROFESA MAJALA WENGI!
  7. Duniahadaa

    Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    https://mwanahalisionline.com/magufuli-mkiniletea-wale-hampati-maji/
  8. Duniahadaa

    Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

    https://www.voaswahili.com/a/polisi-wazuia-maombi-maalum-kwa-ajili-ya-tundu-lissu/4031563.html
  9. Duniahadaa

    Maombi kwa Lissu yapigwa "Stop" Sumbawanga

    Ya Mungu mengi
  10. Duniahadaa

    Maombi kwa Lissu yapigwa "Stop" Sumbawanga

    Alizuia LISSU asiombewe na yeye wakazuia asiombewe https://www.voaswahili.com/a/polisi-wazuia-maombi-maalum-kwa-ajili-ya-tundu-lissu/4031563.html
  11. Duniahadaa

    Je, Huyu Mkalimani Ramazani hajui kusoma? Kwanini aliweka dole gumba?

    Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu. Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa...
  12. Duniahadaa

    Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
  13. Duniahadaa

    Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
  14. Duniahadaa

    Tunapoendelea kusoma mfululizo wa kesi ya Zombe katika gazeti la Mwananchi kuna mengi ya kujifunza

    Gazeti la mwananchi limekuwa likileta mfululizo wa kesi ya Zombe iliyohitimishwa kwa SP Bageni kuhukumiwa kifo. Yaani IGP, Waziri wa usalama wa raia wote hawakuona umuhimu wa kuchunguza hadi Rais alipounda Tume. Hilo ni tukio moja tu kati ya matukio mengi ambayo hayajawahi kuundiwa TUME...
  15. Duniahadaa

    Spika Ndugai na Katibu wa Bunge wapelekwe Mahakamani kwa kutoiheshimu Katiba waliyoapa kuitetea

    HUKUMU HAIKUPELEKWA! NANI MKWELI KATI YAKO NA NDUGAI ALIYESEMA ALIIPATA ILA AKAAHIDI KUWALINDA?
Back
Top Bottom