Search results

  1. BabaDesi

    ...Hakuna Mshindi ?

    Kuna Swali ninajiuliza. Mimi huna ninabet Kama Starehe TU Mara Kwa Mara, na nimekuwa nilipata zamadi za Shs Alfu 50 Mpaka Laki Moja Mpaka mbili mara Moja Moja. Kuna hizi Zawadi za Jackpot za Sportpesa za Kila Wiki ambazo Sasa Zimefika Bilioni Moja na Mia Moja na Ushee na Ndogo ya nadhani ni...
  2. BabaDesi

    ...Mbona Kimya au mshahara umeingia!

    ...Mbona ghafla kumekuwa Kimya ? Mshahara umeingia ? Mbona hatuambiani...Kwa Jinsi Ile Ile tulivyokuwa tukilalamika ? Vipi, Mambo yamekuwa Supa na Kila Mtu Yuko Bize kula Kasungura Lake ?? [emoji846][emoji846]
  3. BabaDesi

    Black Seed au Habat sawda ina nini cha ziada?

    Salamu Wana Jamvi. Nimepita Mahali nikasoma kuhusu hii Habal Sawda ama Black Seed, kwamba Ina Uwezo Mkubwa kutibu Magonjwa yote, Kasoro Kifo' TU! Ninaomba kuelewesha Matumizi ya Habal Sawda....Kuna yoyote mwenye Ushahidi wa Utendaji Kazi wake ? Kazi Njema Waungwana....
  4. BabaDesi

    Nifanye nini cha zaidi kupona kabisa Kiharusi?

    Salamu Sana Wanajamvi. Nina Hakika humu Kuna Watu ambao wameugua Kiharusi, Stroke, na wakapambana nao na kupata Nafuu kama Sio Kupona Kabisa. Tupeane Ushauri. Nilipata Kiharusi tar 23 Nov 2022 na nikalazwa Taasisi ya Moyo JK Kwa Siku 11 na Kisha nikaruhusiwa nikiwa nimelemaa Upande Wote wa...
  5. BabaDesi

    SoC02 Mchango wa Banda

    Mchango wa Banda! Na BabaDesi Wazo nililipata wakati nikipopokea Kadi ya Saba kwa Mwezi huu ikinitaka kuchangia Sherehe za Harusi ya Binti mmojawapo wa ndugu zangu kadhaa nilio nao jijini. Ndugu ambao ajabu idadi yao inakuwa chax che...
  6. BabaDesi

    Mafuta ya Mwamposa yanaweza kumsaidia mtu aliyepooza mwili?

    Kuna Mzee wangu amepata Stroke na kupooza Upande wa Kulia wa Mwili wake kuanzia Kichwani, jicho, Sikio, mdomo, mkono na mguu miezi miwili iliyopita. Tulimpeleka Muhimbili na akapatiwa dawa za kunywa na kutoka maduka ya Suna tumepata mafuta ya kumchua. Kuna mwanajamii amenishauri nimtume kijana...
  7. BabaDesi

    Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

    Asalaam Alaykum na Shalom. Nina babayangu mdogo ambaye ni sasa ni Mstaafu. Walifunga ndoa Bomani mwaka 1990. Wamejaliwa watoto Wanne, Binti Mmoja firstborn na wakiume Watatu...29, 27, 23 na 21. Mwaka 2015 Baba yangu Mdogo akastafu na miaka miwili baada ya kustaafu Baba akapata Stroke na...
  8. BabaDesi

    Naomba msaada wa kupata Email ya Vodacom

    Nimeshangaa sana Mhudumu wa Costumer Care ya Vodacom 100 kuniambia kuwa Vodacom haina anuani ya Email ninapoweza kutuma ujumbe wangu! Kwamba ni lazima nipitie platform ya FB ama Whatsapp kuwapata. Hakuweza kujibu swali langu kwamba kama mimi sipo kwenye mtandao wowote bali nina kompyuta tu na...
  9. BabaDesi

    Kweli, Maiti Haina Haki wala Rafiki:

    Jana tarehe 4 Juni kwenye gazeti kubwa la Mwananchi kuna habari za kusikitisha kuhusu vifo vya Wanawake Wawili vilivyotokana na Watu walio Karibu Yao. Kilichonisikitisha zaidi kwenye ni jinsi Vifo hivyo vinavyoshughulikiwa tofauti na vyombo vyetu vya Usalama na vyombo vya habari. Katika kifo...
  10. BabaDesi

    Je, asali haipandishi kiwango cha sukari mwilini?

    Salamu Waungwana na Wataalamu wa Baraza letu hili la Afya. ninaomba kujuzwa suala hili ambalo limekuwa likinitatiza sana. Baada ya kupata matatizo ya Kisukari, miongoni mwa Ushauri niliopewa in ule wa kutumia Asali kwenye Chai na Maziwa ninayokunywa badala ya kutumia Sukari. Ninaomba utaalamu...
  11. BabaDesi

    Email ya PSSSF

    Salamu wanabaraza. Nina dharura ya kuwasiliana taasisi ya akiba ya wafanyakazi ya PSSSF Ninaomba kama kuna Mwanabaraza ama mwanachama wake hapa mwenye email Yake aniwekee hapa. Ninatanguliza shukurani nyingi
  12. BabaDesi

    Dawa ya Ujana iliyokuwa inauzwa Muhimbili bado ipo?

    Salaam Waungwana. Huu Uzi wangu niliutundima hapa jusi asubuhi lakini naona umefutwa na Wakubwa, sijui kwa mini. Naurejea tena: Nilihoji kuwa katika nyakati hizi ambazo kila MTU anauza dawa ya Kutibu Nguzu za Kiume, mwaka Jana ama juzi kitengo cha Tiba Asili cha Muhimbili kilizindua dawa ya...
  13. BabaDesi

    Ninaomba Msaada kuhusu namba ya NIDA

    Salamu waungwa Wana Sheria. Ninaomba msaada wenu ili niweze kumsaidia Baba yangu mdogo tatizo lake linalomsumbua. Kwa miaka 28 hadi anastaafu baba yangu mdogo ametumia jina lake, na ili tatizo lake lieleweke Vizuri ninaomba kutumia jina la mfano kwamba alikuwa anatumia jina LA JOHN SMITH...
  14. BabaDesi

    Naomba kujuzwa jambo hili kuhusu tatizo la kushidwa Kupumua

    Tuhusike na Kichwa cha Habari. Tunaelezwa kuwa Tatizo kubwa la Ugonjwa wa Corona ni kumfanya Mgonjwa ashindwe kupumua. Tunaelezwa kuwa ili kukabiliana na Hili Mgonjwa hulazimika kuwekewa Machine ya kumsaidia Kupumua, Ventilator (kama, nimepatia spelling!). Swali. Linakuja hapo...
  15. BabaDesi

    Matibabu ya BP bila Dawa

    Salamu Madakitari wa JF. Ninaomba kujuzwa: Pamoja na kufanya Mazoezi, ni chakula gani na Tiba asili ipi ninaweza kutumia ili kupona na kuepuka BP bila kulazimika kutumia madawa makali yenye chemical yanayoweza kusababisha tatizo lingine la Figo? Ninaomba Msaada
  16. BabaDesi

    Nile nini baada ya mazoezi kupunguza maumivu?

    Amani kwenu Waungwana was JF. Nina Swali Mimi ni Mstaafu was Miaka 61. Nimejiwekea utaratibu was kutembea Maili Tano, Mbili na nusu kwenda to a certain point na kurudi nyumbani Mbili na Nusu, mata Tatu kwa Wiki, Jumatatu, jumatano na Jumamosi. Hivi Karibuni kama miezi mitatu iliyopita...
  17. BabaDesi

    Barua Pepe ya Tigo

    Salamu Wakuu. Jana nimeomba Msaada hapa wa Mwenyewe Kujua anuani ya Barua Pepe ya Mkuu wa Tigo kwa maana ya Managing Director ama kwaana yoyote anavyojulikana, ya Idara ya Tigo Pesa na Idara ya Huduma kwa Wateja lakini sitkupata na Zaidi sana hata ule Uzi wangu siuoni! Umefutwa? Ninaoombeni...
  18. BabaDesi

    Uchaguzi 2020 Kwamba Benard Membe, Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Seif Sharrif Hamad ndio Wanasiasa Wakuu kwenye Ngome ya Upinzani?

    Kwamba Benard Membe, Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Seif Sharrif Hamad ndio Wanasiasa Wakuu kwenye Ngome ya Upinzani? Kwamba wakubaliane tu na kujipanga kwamba Benard Membe agombee Kiti cha Uraisi, Tundu Lisu awe mgombea mwenza ama Vice Versa, Seif Sharrif Hamad agombee Kiti cha Urais Zanzibar na...
  19. BabaDesi

    Nauza Kamera Nikon.

    Shalom Wakuu na habari za Kupambana huko. Husika na kichwa cha Habari. Ninauza kamera yangu ya Kisasa aina ya Nikon D90. Sababu ya kuiuza ni kwamba nilimnunulia kijana wangu October mwaka jana alipomaliza Certificate hapo DSJ na ana ndoto ya kuwa Photo Journalist. May hii ameletewa mtambo mkubwa...
  20. BabaDesi

    Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
Back
Top Bottom