Black Seed au Habat sawda ina nini cha ziada?

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,034
3,947
Salamu Wana Jamvi. Nimepita Mahali nikasoma kuhusu hii Habal Sawda ama Black Seed, kwamba Ina Uwezo Mkubwa kutibu Magonjwa yote, Kasoro Kifo' TU!

Ninaomba kuelewesha Matumizi ya Habal Sawda....Kuna yoyote mwenye Ushahidi wa Utendaji Kazi wake ? Kazi Njema Waungwana....
 
Ina matumizi mengi ya kitiba (na kama chakula)

Faida za Habal Sawda:
  • Inapunguza msongo wa mawazo na wasiwasi.
  • Ina sifa za kupambana na uvimbe na maambukizi.
  • Inaboresha kumbukumbu na utendaji wa ubongo.
Jinsi ya kutumia Habal Sawda:
  • Kunywa mafuta ya Habal Sawda, kuchanganya mbegu na asali, au kutafuna mbegu.
Madhara yanayoweza kutokea:
  • Kichefuchefu, kutapika, tumbo kuuma, au kuhara.
  • Maumivu ya kichwa, usingizi, au kukosa hamu ya chakula.
  • Mabadiliko ya shinikizo la damu, sukari ya damu, au damu nyingi.
  • Athari za mzio.
Muhimu:
  • Kushauriana na daktari kabla ya kutumia Habal Sawda.
  • Kuanza na kipimo kidogo na kuongeza polepole.
Hitimisho:

Habal Sawda ni mbegu yenye faida nyingi za afya, lakini pia inaweza kuwa na madhara kwa baadhi ya watu. Ni vyema kutumia mbegu hii kwa uangalifu na busara, na kuomba ushauri wa kitaalamu ikihitajika.
 
Mkuu, umeieleza Vizuri Sana. Ninakushukuru Sana ,
 
Unga wake ukichanganywa na tangawizi ya unga then ukawekwa ndani ya asali mbichi, unawasaidia wale wenye shida ya kushindwa kusimamisha uume au uume kuwa legevu
 
...Serious ? Mambo yetu yalee ! Unataka ipotee ? ...
 
...Hakuna Mwanajamvi Mwingine ambaye ameishaitumia Habal Sawda au Anaifahamu Utendaji wake Kazi akatupa Uzoefu wake hapa ??..
 
Back
Top Bottom