Naomba msaada wa kupata Email ya Vodacom

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,033
3,944
Nimeshangaa sana Mhudumu wa Costumer Care ya Vodacom 100 kuniambia kuwa Vodacom haina anuani ya Email ninapoweza kutuma ujumbe wangu!

Kwamba ni lazima nipitie platform ya FB ama Whatsapp kuwapata. Hakuweza kujibu swali langu kwamba kama mimi sipo kwenye mtandao wowote bali nina kompyuta tu na ujumbe ninaotaka kutuma Vodacom ni kwa faida yao, hakunipa jibu na akakata line!.

Email yao ya costmercare@vodacom.co.tz ni ya mapambo tu haifanyi kazi maana ukiitumia inakurejeshea ujumbe uliotuma na kukuambia hiyo email haifanyi kazi.

Ninaomba msaada wana baraza kama kuna anayefamu email ya kitengo chochote cha vodacom, hasa cha Public Relations anisaidie hapa.

Natanguliza Shukurani.
 
Ninaombeni Msaada wa email yoyote ya Vodacom.. Ni Dharura
 
esupport@vodacom.co.tz
 
Hata mimi naomba kuuliza, hiv links zinazoanza na "info" kama hii info@ihi.or.tz huwa ni email addresses au zinamaanishaga nini?

Maana nimejaribu kuwatumia email hao watu napata report fulan mwamba sina vigezo, naomb unisaidie

Screenshot_20211116-143934.png
 
Back
Top Bottom