BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,195
Amani kwenu Waungwana was JF.
Nina Swali
Mimi ni Mstaafu was Miaka 61. Nimejiwekea utaratibu was kutembea Maili Tano, Mbili na nusu kwenda to a certain point na kurudi nyumbani Mbili na Nusu, mata Tatu kwa Wiki, Jumatatu, jumatano na Jumamosi.
Hivi Karibuni kama miezi mitatu iliyopita nimeanza kusumbuliwa na Maumivu makali sana ya Musuli kiasi kwamba nikirejea mazoezini na kupumzika kisha baadaye kukaa kwenye kochi...ninapotaka kuamka inakuwa shughuli. Miguu yote inakuwa kama moto kwa Maumivu.
Cha ajabu no kwamba nikipumzika simu inayofuata, siku ya kutembea sipati sana ya kupiga Maili Tank zangu SAA 12 alfajiri had I SAA Tatu.
Nimejikuta Mara nyingine nikilazimika kumeza Panadol Mbili zile za Kenya ili kukata Maumivu. Zinasaidia lakini kwa kweli kwa umri hii sijisikii Amani kubugia Panadol 6 per wiki kila baada ya Mazoezi ili kupunguza Maumivu.
Ninauwauliza Madakitari was FB, hivi hakuna aina fula ya tunda ama dawa ya asili ambayo ninaweza kuinywa baada ya Mazoezi na ikakata Maumivu yangu? Kwa maana kwamba labda Asalk, kitunguu saumu, kitunguu, limao, tangawizi na mambo kama hayo ili nisilazimike kutumia Panadol kuondoa Maumivu yangu?
Ninaomba Msaada wenu Wanajamvi madakitari.