Search results

  1. flulanga

    Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

    Habari ndugu zangu nawasalimia[emoji112][emoji112] Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ipo ivi nimepata mchumba kibint kidogo ila pia nimefanya utafiti wangu kuhusu familia yake nimegundua inafaa kwaajili ya mimi kujiunga kama mwana familia. Ila pia huyu bint nimegundua bado ni...
  2. flulanga

    Ndoto ya kufa na kujizika mwenyewe

    Wakuu habari..... Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nimekufa nikajizika mwenyewe juu ya kaburi la mtu mwingine. Nikajiandaa mwenyewe hapo kaburini kwa kujilaza chali....... Ila jamaa yangu mmoja akaja kunitengeneza na kunigeuza na kunilaza kifudifudi. Ila kaburi lilikuwa na kina kifupi kwahiyo...
  3. flulanga

    Ufundi wa simu na vifaa vyake

    Habarini humu ndugu zangu. Wakubwa shikamoo, Wadogo mambo niaje? Niende kwenye point yangu; Nimepata wazo la kufungua ofisi ya kutengeneza simu na kuuza vifaa vyake. Mimi sio fundi ila nachotaka kukifanya ni kuandaa ofisi na vifaa vya muhimu vinavyohitajika kwaajili ya kufanyia kazi. Alafu...
  4. flulanga

    Tozo ya miamala ya simu

    Katika jitihada za serikali kuongeza mapato ya serikali. Zimeanzishwa tozo mbali mbali katika nyanja tofautitofauti ili serikali iweze kutimiza malengo yake iliyojiwekea. Kwa upande wangu napenda niongelee swala la tozo za mihamala ya simu. Tozo za mihamala ya simu limekuja katika kipindi...
  5. flulanga

    SoC01 Mikopo ya Biashara ya Vijana Serikalini

    Serikali kupitia mapato ya halmashauri kumekuwepo na asilimia 10 ya mapato ya ndani kwaajili ya mikopo kwa vijana na watu wenye ulemavu. Wimbi kubwa la vijana kulalamika ukosefu wa ajira na ukosefu wa mitaji ya biashara, kilimo na shuuri nyingine za kuwaingizia vipato hii ndio ilikuwa suluhisho...
  6. flulanga

    SoC01 Changamoto: Malezi ya Watoto/Mtoto yatima

    Yatima kwa tafsiri ni mtoto aliyefiwa na wazazi wote wawili yaani baba na mama muda huo huo umri wake ukawa chini ya miaka 18. Habari ndugu zangu, uzi wangu utaelezea hadha wapitiazo watoto yatima kimalezi na makuzi au watoto waliotelekezwa na wazazi wao (sio wote wanapitia ila naamini ni...
  7. flulanga

    Tozo za Miamala: Mawakala hatuna majibu tukiulizwa na wateja kuhusu kurudisha makato ya zamani

    Mawakala tunalia hatuna majibu ya kuwapa wateja wetu pindi waulizapo 'vipi bado hawajarudisha makato ya zamani?' Mawakala tunabaki tunatoa macho na kujibu 'BADO' Tozo ya mihamala imeathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na shughuli nzima ya biashara ya mihamala na biashara nyingine ndogo ndogo...
  8. flulanga

    Kutembelea, kulia kwenye kaburi la ndugu kuna ubaya?

    Jana nikiwa kazini nikawaza 'Nina siku sijaenda kumsalimia bibi, sijui lini niende' Duh aisee nikakumbuka alishafariki mwaka huu miezi yamwanzoni kabisa. Bibi yangu alinipenda sana nayeye ndie kwa asilimia kubwa alinilea. Jana hiyo nilijikuta machozi yananitiririka kazini maana nilimkumbuka...
  9. flulanga

    Samsung J6 plus ina ubora gani?

    Samahani kwa anaye ifahamu simu tajwa hapo juu. Ubora wake pamoja na bei yake. Natanguliza shukrani.
  10. flulanga

    Tofauti ya mtoto aliyelelewa na bibi na mtoto aliyelelewa na mama/wazazi wote wawili

    Kama kichwa chahabari kinavyojieleza. Mimi binafsi yangu nimelelewa nabibi (rip) katika maisha yakawaida sana ila tabia zangu sizielewi elewi kabisa nasijajua hizi tabia nilizonazo ndizo tulizonazo kwaasilimia kubwa tuliolelewa nabibi? Baadhi ya tabia zangu, - Sio mtu wakuchangamana nawatu...
  11. flulanga

    Sijui laki moja yangu imeenda wapi?

    Nina kawaida kila mshahara ukiingia sitoi pesa bank mpaka tarehe 01 ndio naenda kutoa pesa yoteee yaani haijalishi mshahara umeingia tarehe ngapi, hata ukiwahi tarehe 22 sitoi pesa bank mpaka ikifika tarehe 01 ndio natoa. Sasa tarehe 01 mwezi huu nikaenda kutoa pesa yoteee nikafanya maemezi...
  12. flulanga

    Soko la samaki wa chumvi Morogoro

    Habarini wapendwa katika Bwana. Nauliza kama kuna wanaofahamu soko lasamaki wadogo nchi 2, nachi 2¼ wakukaangwa namafuta yamawese pamoja nachumvi, Samaki wakutoka tabora ugala. Kama kuna anayefahamu soko lake morogoro na sehemu nyinginezo naomba anijuze.
  13. flulanga

    Mzazi mwenzangu wangu mvivu

    Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu, Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto namda huohuo mimi mzazi mwenzie nipo hajisikii vizuri. Nikaona nikweli alafu ukizingatia anamtoto wangu...
  14. flulanga

    Kufungua kampuni ya udalali

    Habari ndugu zangu. Baada ya kusikia habari kutoka serikalini kuwa na madalali wanatakiwa kuwa na leseni ya biashara ya udalali ndio utakuwa unafanya shughuli zako kihalali. Nimeona fursa hapo kutokana na madalali sio wote ila wengi sana wanaendesha biashara zao bila ya kufuata taratibu za...
  15. flulanga

    Nimekuchagua wewe uwe mke wangu wakunioa!!!!

    Nipo hapa naangalia cherekochereko TBC2. Nimesikia nakuangalia kiapo alichoapa bwana harusi ila sijajua hii ndoa ilifungwa lini. Nanukuu 'nimekuchagua wewe uwe mke wangu wakunioa, naninaahidi uaminifu wangu kwako' mwisho wakunukuu. Hii kauli ya 'wakunioa' ndio umenichanganya kidogo nakama...
  16. flulanga

    Kuachana nampenzi bana!!

    Najaribu kumuacha mpenzi wangu ila siri yangu yaani ninavyoumia acheni2. Yaani mchana unashinda vizuriiii ikifika usiku2 mawazo yanaanza, unaanza kushindana naupepo usizimishe kibatari. Naishamblock simblokui dadeki kufa sifi ila nisipougua madonda yatumbo aiseee sidhani maana nisiri yangu...
  17. flulanga

    Idea ya biashara

    Habari ndugu zanguni, Najua humu kuna watu wamadaraja tofauti tofauti. Vilevile natambua uwepo wa madaraja yote hayo na mimi pia ni miongoni mwao katika moja ya madaraja. Hapa naongelea madaraja ya kimaisha/uwezo wa kipesa, uwezo wa kiuwekezaji. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nina wazo la...
  18. flulanga

    Library au huduma za kipesa kama Tigo Pesa

    Habarini ndugu zangu, Mimi nina goli la huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo na Airtel Money. Hapo awali nilikuwa kwa mwezi naingiza sio chini ya laki 5 ila kwa sasa biashara sio nzuri nimeshuka hadi laki 4 mpaka 380. Na yote hii imechangiwa na kuongezeka kwa watoa huduma kama yangu hapa jirani...
  19. flulanga

    Mahusiano dini tofauti, nipeni mbinu

    Habari zenu wanaJF, Niende kwenye mada moja kwamoja. Nipo kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi, tuna mUda sana ila dini zetu ni tofauti ila kwa upande wake yeye hana shida, alishakubali kubadili dini maana tayari tuna mtoto mmoja. Lengo la huu uzi nikwamba, hivi karibuni alikuja kwangu...
  20. flulanga

    Nimemuota mama yangu aliyefariki kitambo amerudi kama vile katoka safari kapendeza hatarii

    Wakuu usiku waleo kiukweli nimeota ndoto nzuriiii sanaaaa tena sana naweza sema nindoto nzuri kwangu kwahuu mwaka toka uanze. Unajua ile unaota ndoto nzuri alafu unashtuka kumbe ulikuwa unaota, unaanza kujilaumu kwanini umeshtuka. Ipo hivi mama yangu kafariki zaman sana, ila nimemuota amerudi...
Back
Top Bottom