flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,856
- 6,442
Nipo hapa naangalia cherekochereko TBC2. Nimesikia nakuangalia kiapo alichoapa bwana harusi ila sijajua hii ndoa ilifungwa lini. Nanukuu 'nimekuchagua wewe uwe mke wangu wakunioa, naninaahidi uaminifu wangu kwako' mwisho wakunukuu.
Hii kauli ya 'wakunioa' ndio umenichanganya kidogo nakama nitakuwa nimeielewa vibaya basi mnisamehe. Hii kauli nilivyoilewa nikama vile mume namke wameoana na sio mwanaume ndio amemuoa mwanamke. Sijajua ili nidhehebu gani ila niwakristo nandoa imefungwa kanisani ila dhehebu ndio sijalijua.
Mimi nimkristo ila sijaoa bado. Swali langu hivi nitoka zamani sisi wakristo wanaume nawanawake hivi mnaoana au mwanaume ndio anamuoa mwanamke?
Sent using Jamii Forums mobile app