Kuachana nampenzi bana!!

Kuachana nampenzi bana!!

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,858
Reaction score
6,442
Najaribu kumuacha mpenzi wangu ila siri yangu yaani ninavyoumia acheni2. Yaani mchana unashinda vizuriiii ikifika usiku2 mawazo yanaanza, unaanza kushindana naupepo usizimishe kibatari.

Naishamblock simblokui dadeki kufa sifi ila nisipougua madonda yatumbo aiseee sidhani maana nisiri yangu jinsi ninavyojifeel bad.

Usiku mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani (kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!! This is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
ww hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani ( kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!!.....this is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!!!

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Duh! Hii comment jamaa amejuta kuanzisha uzi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeachwa au Umeacha?

Kama umeacha kwann uumie ili hali mpaka Unaacha ulikua umeshapata mwingine?

Ila kama umeachwa, Mzee baba ,hukujua kusoma nyakati za alama.
Sijaachwa ila nimeacha baada yakuona hatuendani natunapotezeana mda maana nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka watatu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani (kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!!..his is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!

Don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Hahahaha mkuu nipe mkeo atakusimulia magoli [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaachwa ila nimeacha baada yakuona hatuendani natunapotezeana mda maana nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka watatu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemuacha halafu bado unamuwaza hujui Kama unatudanganya mzee kama watoto wa vidudu!!

Don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
ww hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani ( kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!!.....this is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!!!

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna demu nilitokea kumpenda kumbe mwenzangu alikuwa ananyapia tu pesa zangu, baada ya kugundua nikaanza kumbania daaah nikaja kupewa kibuti na maneno juu!! iliniuma kwa muda coz kweli nilimpenda lakini ndo hivyo haikuwa riziki yangu!!

Don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Najaribu kumuacha mpenzi wangu ila siri yangu yaani ninavyoumia acheni2. Yaani mchana unashinda vizuriiii ikifika usiku2 mawazo yanaanza, unaanza kushindana naupepo usizimishe kibatari.

Naishamblock simblokui dadeki kufa sifi ila nisipougua madonda yatumbo aiseee sidhani maana nisiri yangu jinsi ninavyojifeel bad.

Usiku mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mapenzi yatakupeleka pahala pabaya la utawehuka,mbona kitu simple tu toa kitu ingiza kitu hapo hutomuwaza tena huyo x wako..kama una jinsia ya kike nipm tuyajenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom