flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,342
Habari ndugu zanguni,
Najua humu kuna watu wamadaraja tofauti tofauti. Vilevile natambua uwepo wa madaraja yote hayo na mimi pia ni miongoni mwao katika moja ya madaraja. Hapa naongelea madaraja ya kimaisha/uwezo wa kipesa, uwezo wa kiuwekezaji.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Nina wazo la biashara ila wazo hilo linahitaji pesa kuanzia Milion 15 mpaka milioni 25. Nasema kuanzia hicho kiasi sio kama mtu awezi kufanya akiwa na mtaji chini ya hapo ila kwa kuifanya kwa kujiamini zaidi na kwa ufanisi kabisa inataka uwekezaji wa kiasi cha pesa nilichokitaja hapo juu.
Nisiwe muongo, uwekezaji huu sio kama unafaida kubwa sana eti nianze kudanganya ili nimvutie mtu hapana! Faida yake ni juhudi za kuingia sokoni kufanya kazi na ndio faida yake ipo hapo, wewe utatoa pesa mimi nitaingia sokoni, usalama wapesa upo wakutosha sana, nahii biashara sio kama unanunua bidhaaa nakuuza, NO!
Hii biashara ukihitaji kuvunja mkataba labda tumefanya miezi miwili na umeona mrejesho sio mzurii basi tunavunja mkataba na kurudishia pesa yako siku hiyo hiyo.
Uhakika wa faida niwakawaida ila ukiwekeza milioni 15 ndani yamiezi 12 basi uhakika wakutengeneza faida ya milioni 10 uhakika nandiomana sijasema nifaida kubwa ila niyakawaida ila vilevile niyauhakika.
Kama kuna mtu anaweza kuwa tayari basi kwa ajili ya kufanya kazi na mimi yeye atoe pesa mimi niwe nguvu kazi basi aje PM.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app