Ufundi wa simu na vifaa vyake

Ufundi wa simu na vifaa vyake

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,856
Reaction score
6,442
Habarini humu ndugu zangu. Wakubwa shikamoo, Wadogo mambo niaje?

Niende kwenye point yangu; Nimepata wazo la kufungua ofisi ya kutengeneza simu na kuuza vifaa vyake.

Mimi sio fundi ila nachotaka kukifanya ni kuandaa ofisi na vifaa vya muhimu vinavyohitajika kwaajili ya kufanyia kazi. Alafu ndio nimtafute fundi tuingie nae makubaliano tutakuwa tunanufaika vipi na hiyo kazi.

Faida yangu kubwa ninapolenga ni yeye kuwa ananiuzia vifaa vya simu kwa wateja. Kama vile vioo, mike, speaker na vifaa vingine.

Kwahiyo nachoomba kama kuna wazoefu humu wanisaidie kufahamu vifaa vya muhimu vinavyohitajika kwaajili ya ufundi simu pamoja na bei zake.

Mungu awabariki sanaaa.
 
Kuna uzi humu ndani unahusu ufindi simu na biashara yake kwa ujumla nafkr ungeutafuta ungekupa pa kuanzia!
 
Back
Top Bottom