Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,343
Habari ndugu zangu nawasalimia

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ipo ivi nimepata mchumba kibint kidogo ila pia nimefanya utafiti wangu kuhusu familia yake nimegundua inafaa kwaajili ya mimi kujiunga kama mwana familia. Ila pia huyu bint nimegundua bado ni bikra....... Nimefurahi sanaaa kuhusu hili.

Ila changamoto kubwa ipo kwenye umri...... Huyu bint nimemzidi miaka 13 kwa upande wake sioni kama ana shida kuhusu hili ila kwa upande wangu ndio nimekuwa kama nikilifikiria nahisi kama nimemzidi sana na inaweza kuleta shida huko mbele.

Wakuu hili limekaaje?? Na je kwa umri huo ambao nimemzidi haitaleta shida huko mbele??

Nawategemea kwa mawazo yenu ili nifanye maamuzi sahihi ili mwakani mda kama huu ikibidi niwe kwenye ndoa
 
Unaweza kupitia comments za wadau,japo hutaki kutaja umri wako

Una umri gani? Isije ikawa unaoa kitoto cha miaka 17.
 
Back
Top Bottom