Mahusiano dini tofauti, nipeni mbinu

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,341
Habari zenu wanaJF,

Niende kwenye mada moja kwamoja. Nipo kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi, tuna mUda sana ila dini zetu ni tofauti ila kwa upande wake yeye hana shida, alishakubali kubadili dini maana tayari tuna mtoto mmoja.

Lengo la huu uzi nikwamba, hivi karibuni alikuja kwangu kukaa kama wiki hivi, sasa katika maemezi nikapendelea siku moja kununua kuku, yaani kwio.

Sasa katika kumfanyia maandalizi ili apikwe ikanibidi nishike kisu niende nyuma ya nyumba kwa ajili ya kumchinja huyo kuku, kumbe bibie ananifuata nyuma ya nyumba. Ile nimemkanyaga kuku miguu ili nimchinje, bibie nikasikia kapiga kelele nyuma yangu 'achaaaaa usimchinje labda kama unakula pekeako' heee nikashtuka nikaghairi kumchinja, ndio kumuuliza tatizo nini? Eti hoooo ukichinja wewe itakuwa nyamafu, nikapigwa butwaa. Eti hoooo mtafute kijana au mzee wa Kislamu ndio aje achinje. Hee nikabutwaa, ina maana huyu manzi kila akija anakuta mipaja ya kuku huwa ajui kuwa ndio mimi niliyechinja? Ikabidi zoezi liahirishwe, nikaenda buchani kudaka nyama nusu siku ikaisha hivyo.

Sasa nahitaji msaada, kwa wale waliowabadilisha wapenzi wao dini, wanaishi maisha gani na hawa wake zao? Maana imenifikirisha sana kwa maana huyu manzi ndio natarajia awe mke wangu, sasa tutaishije? Amesema amekubali kubadili dini na mda huohuo bado anasema nikichinja mimi hali maana atakuwa kala nyamafu. Naombeni mwanga kidogo jamani

Tueleweshane/tuelimishane kwa wale waliopitia/walioona situation kama hii.
 
Yote aliofanya mpaka kuzaa anaona halali, ila kuku ndio haramu. ajabu!.
Ajabu nikwamba mara nyingi huwa nachinja kuku nakula ikibaki nayeye akija anakula naanajua kabisa nimeipika mwenyewe sasa sijui anajua nilienda kuchinjisha buchani
 
Habari zenu wanaJF,

Niende kwenye mada moja kwamoja. Nipo kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi, tuna mUda sana ila dini zetu ni tofauti ila kwa upande wake yeye hana shida, alishakubali kubadili dini maana tayari tuna mtoto mmoja.

Lengo la huu uzi nikwamba, hivi karibuni alikuja kwangu kukaa kama wiki hivi, sasa katika maemezi nikapendelea siku moja kununua kuku, yaani kwio.

Sasa katika kumfanyia maandalizi ili apikwe ikanibidi nishike kisu niende nyuma ya nyumba kwa ajili ya kumchinja huyo kuku, kumbe bibie ananifuata nyuma ya nyumba. Ile nimemkanyaga kuku miguu ili nimchinje, bibie nikasikia kapiga kelele nyuma yangu 'achaaaaa usimchinje labda kama unakula pekeako' heee nikashtuka nikaghairi kumchinja, ndio kumuuliza tatizo nini? Eti hoooo ukichinja wewe itakuwa nyamafu, nikapigwa butwaa. Eti hoooo mtafute kijana au mzee wa Kislamu ndio aje achinje. Hee nikabutwaa, ina maana huyu manzi kila akija anakuta mipaja ya kuku huwa ajui kuwa ndio mimi niliyechinja? Ikabidi zoezi liahirishwe, nikaenda buchani kudaka nyama nusu siku ikaisha hivyo.

Sasa nahitaji msaada, kwa wale waliowabadilisha wapenzi wao dini, wanaishi maisha gani na hawa wake zao? Maana imenifikirisha sana kwa maana huyu manzi ndio natarajia awe mke wangu, sasa tutaishije? Amesema amekubali kubadili dini na mda huohuo bado anasema nikichinja mimi hali maana atakuwa kala nyamafu. Naombeni mwanga kidogo jamani

Tueleweshane/tuelimishane kwa wale waliopitia/walioona situation kama hii.

Usifungiwe nira na asie amini. Hii ndio hekima ya BIBLIA
 
Kama Wewe mtu mzima Upo kwenye kizungumkuti hivyo, Je Umepata picha Ni kwa kiasi gani watoto wako/wenu watakuwa na kizungumkuti kikali Zaidi?

2 Wakorintho 6:14 " Msifungiwe Nira pamoja na wasioamini kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana Pana Urafiki gani Kati ya Hali na Uasi...."

Fanya jitihada abadili dini toka moyoni na si Mdomoni tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom