Search results

  1. mpasta

    Tutafute chanzo mbadala cha sukari ya miwa

    Sukari mitaani Hali mbaya imefika mpaka bei ya TZS 5,000/= kwa kilo moja. Mwanzoni tulidhani kupanuliwa kwa kiwanda Cha Kilombero, kuanzishwa kwa viwanda vipya vya BAGAMOYO SUGAR, NSSF-MKULAZI na LAKE AGRO-Rufiji kuyamaliza tatizo la sukari nchini, lakini mabadiliko ya hali ya hewa Duniani...
  2. mpasta

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 ufutwe pesa zitengeneze miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za El Nino

    Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa zake kukarabati miundombinu ya barabara. Mwaka 2019 Uchaguzi wa serikali za mitaa ulitumia bajeti ya...
  3. mpasta

    [emoji3586]ASIYE BAHATI HABAHATIKI[emoji3586]

    [emoji3591]Nimemaliza kusoma kitabu cha mchezo wa kuigiza, kinachoitwa "Aliyeonja Pepo" kilichotungwa mwaka 1973 na mtunzi Farouk Topan, nikajikuta nakumbuka kisa cha kweli.maishani kilichomsibu Mzee flani, jina lake kapuni. Mzee huyo, yeye na mkewe wote ni Walalaheri. Wakajaaliwa kupata ghulamu...
  4. mpasta

    Bodi ya Mikopo (HESLB) kuna tatizo gani na makato yetu ya Mwezi Januari 2023?

    Niende kwenye hoja Moja kwa moja. Nikiwa ni mnufaika wa mkopo wa HELSB, Nilianza kulipa deni langu mwaka 2009 mpaka kufika 2014 nikawa nimemaliza deni langu lililoletwa kwa muajiri wangu. Ghafla mwezi Septemba mwaka 2022 nikaona muajiri wangu ameanza kunikata deni upya tena kubwa kuliko deni...
  5. mpasta

    Waajiriwa Wanawake wanaongoza kwa ubahili

    Kuna nilikuwa nafanya Halmashauri moja iliyopo Mkoani Tanga, nikafanya tafiti yangu isiyo rasmi kwa watumishi wa pale. Nikagundua akina mama waajiriwa wana ubahili wa hatari wamesomea CUBA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Asubuhi vile vipochi vyao vinabeba vitafunwa toka nyumbani, wengi wao...
  6. mpasta

    Ushawahi kula chakula cha ajabu ugenini? Ulichukua hatua gani?

    Waswahili wanasema "Msafiri Kafiri" na "kuku mgeni hakosi kamba mguuni". Hii misemo yote inaelezea tabu na adha unayoweza kukutana nayo ukiwa safarini au ugenini. Leo nimetafakari juu ya homa ya MGUNDA iliyoibuka Mkoa wa Lindi, nikakumbuka kisa nilichowahi kusimuliwa na marehemu Mjomba wangu...
  7. mpasta

    Majukumu mawili ya kifamilia nisiyoyapenda...

    Wadau nirukie moja kwa moja kwenye mada. Nina mke na watoto wadogo. Nikiwa Home namsaidia mke wangu kazi mbalimbali, kama kupika, kuogesha watoto, kusimamia Home Work za shule, etc Lakini mambo mawili siyapendi kabisa. (1) Kupeleka mtoto hospitalini Hapo panakuwa pagumu sana kwangu, nitaenda...
  8. mpasta

    Mstaafu ahonga nauli yake ya daladala

    Daah... asubuhi asubuhi leo nimeshuhudia kituko, Mstaafu akionja shubiri ya huba baada ya kuhonga nauli yake ya Daladala. Picha lilianzia kituo cha Daladala cha Njia Nne, anapanda msichana wa rika la miaka 25-30. Siri iliyobaki tupu, amekaa mstaafu mmoja wa Jeshi namfahamu tupo nawe Club moja ya...
  9. mpasta

    Tubadilishane uzoefu wizi unaofanywa na mafundi ujenzi, magari, n.k

    Niende kwenye mada moja kwa moja, mie binafsi napenda fundi nione ubora wa kazi yake afu awe anayejiamini na ubora wa kazi yake na bora anitajie pesa kubwa ya ufundi nishindwe mimi kuliko kujifanya mnyonge mnyonge, mtu wa hewala afu anataja pesa ndogo kumbe anasubiri kukuibia kupitia pesa ya...
  10. mpasta

    Ninajitoa rasmi uanachama wa chama cha wafanyakazi

    Nimeshtushwa na video inayosambaa mitandaoni inayomuonyesha Rais wa TUCTA Bwana Tumaini Nyamhokya akionekana anaelezea kuwa nae ameshangazwa na nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma. Najiuliza ina maana alichokuwa anakaa kuhubiri kwenye TV kusifia ongezeko alikuwa anahubiri kitu...
  11. mpasta

    Ukipata taarifa za mshahara mpya usikose kutujuza wenzako....

    Wadau ambao ni watumishi wenzangu wa umma, tuna kumbukumbu nzuri tu ya kusugua miaka 6 mfululizo bila ongezeko la mshahara hata thumni. Lakini Rais wetu mpendwa wa Awamu ya sita Mama Samia Suluhu Hassan kaupiga mwingi sana. Kasikia kilio chetu katika nyongeza ya mshahara ya asilimia 23.3 kwa...
  12. mpasta

    Huduma mbovu kwa wateja ni chanzo cha kufa kwa biashara nyingi Tanzania

    [emoji3591] Niliwahi kusafiri Mkoani na kundi la wafanyakazi wenzangu kama watu 5, tukaiona nyumba moja ya kulala wageni, tukaizimia fegi kwa uzuri wake. Tukaulizia bei tukakuta ni ya kizalendo inayoendana na ukubwa wa pochi zetu. Tukapanga tulale hapo wiki 2 mtawalia. Sasa ghafla tukiwa...
  13. mpasta

    Trafiki huyu ni kichefuchefu hapa Mbezi Stendi ya Magufuli

    Mkuu wa trafiki DSM shughulikia hawa askari wazembe, wapeleke huko Mikoani KATAVI huko au KIGOMA au waje mtaani waone msoto ulivyo. Tunarudi makazini tukawahi familia zetu usiku huu tumechoka, yeye kwa kutaka rushwa tu anasimamisha magari ovyo na kuleta foleni isiyo na faida. Kwa dharau zaidi...
  14. mpasta

    Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

    Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule. Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
  15. mpasta

    Msaada tutani: Mbinu za kumdai Pisi kali pesa yako

    Niende moja kwa moja kwenye mada: Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia mdogo mdogo. Last week bana kapewa kadi ya mchango wa harusi na yule Pisi kali dadake anaolewa hivyo anaomba mchango, Singo elfu 70, Dabo 120...
  16. mpasta

    Kuwa makini, huruma zikizidi zitakuponza

    Kuna siku nilikuwa nasafiri na ndege ya Alfajiri pamoja na Bosi wangu, sasa pale Airport ghafla tupo foleni kajitokeza jamaa ana kifurushi chake anasema ni magazeti anataka nimsaidie kumbebea mpaka MWANZA kuna mtu atapokea. Nataka kukipokea Bosi akaniambia "Kuwa makini huruma zikizidi...
  17. mpasta

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha, (1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa...
  18. mpasta

    Ughaibuni ni mateso siku za mwanzoni

    Waswahili wana msemo "Kuku mgeni hakosi kamba mguuni", nimekumbuka kuna mwaka nilipata nafasi ya kozi fupi Nchini Uholanzi. Furaha yote ya kukanyaga Ughaibuni kwa mara ya kwanza ilinitumbukia nyongo siku za mwanzo kutokana na tofauti ya tamaduni. Kwanza niliwasili majira ya jioni kama saa 11...
  19. mpasta

    Utoto wa miaka ya 80's-90's ulikuwa raha sana

    Nikiwa Home nikiwaangalia watoto wangu naona kama utoto wao hauna kashikashi nyingi kama enzi zangu. Nikikumbuka enzi zile malezi yake kama jeshini vile..na taarifa nyingi tulikuwa tunafichwafichwa. Mfano (1) Akizaliwa mtoto Home, mnadanganywa mama ameenda kumnunua mtoto hospitali. (2)...
  20. mpasta

    Wasomi wetu wanaoponda "Royal Tour" wana lao jambo

    Kuna kisa kimoja niliwahi kusimuliwa na rafiki yangu kuwa kuna mpishi mmoja alipika donati kisha akawaalika Maprofesa na Madokta wa Chuo Kikuu kimoja cha Afrika waje kula. Chakula kila kilikuwa kigeni kwao kwa Maprofesa wale waliozoea kula maandazi. Basi baada ya kumaliza kula, akawauliza...
Back
Top Bottom