Waajiriwa Wanawake wanaongoza kwa ubahili

mpasta

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
917
1,997
Kuna nilikuwa nafanya Halmashauri moja iliyopo Mkoani Tanga, nikafanya tafiti yangu isiyo rasmi kwa watumishi wa pale. Nikagundua akina mama waajiriwa wana ubahili wa hatari wamesomea CUBA..

Asubuhi vile vipochi vyao vinabeba vitafunwa toka nyumbani, wengi wao hawaingii kwenye Mkahawa. Ikifika Lunch wanapiga pasi ndefu labda wapate ofa ya kununuliwa au wataenda kununua sahani moja ya chakula wanakula watu wawili kwa kigezo cha kuwa hawali chakula kingi.

Wakisafiri kikazi wamelipwa posho ya safari lakini hawalali Lodge/Guest House, lazima watafute ndugu au rafiki walisoma nao Chuo wakalale. Kuna mzungu mmoja aliwahi kumtolea uvivu mama mmoja walikuwa wanafanya nae kazi kwenye Mikoa 5 Tanzania.

Basi kila mkoa waliofika yule mama alilala kwa ndugu, akamuuliza wewe kwani una ndugu wangapi? Maana kila tunapokwenda wewe una ndugu tu

Sasa sijui Salary ni ndogo au ndio ubahili wao tu wa CUBA sijaelewa bado
 
Ndugu yangu wewe Fata maisha yako hayo unayochunguza hayatakusaidia chochote kile katika maisha. Acha shobo na maisha yasiyokuhusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom