Search results

  1. Bhaghosha

    Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  2. Bhaghosha

    Uwekaji Meter za Maji Nje ya Nyumba na Wizi wa bomba zake ikidaiwa ni wauza Vyuma Chakavu

    Wiki hii huko Arusha usiku wa manane watu wasiojulikana waling'oa mabomba yanayounganisha meter za maji na kuondoka nazo. Inasadikiwa siyo chini ya meter 25 katika eneo hilo. Wanainchi wanaamka asubuhi wanakuta maeneo yao yamefurika na maji. Idara ya maji ilipojulishwa ilijivuta kuja kudhibiti...
  3. Bhaghosha

    CHADEMA mbadili utoaji hotuba katika mikutano kutoka kuhabarisha na kuwa ya kutia hasira ya mabadiliko

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa sababu wanainchi wengi wanajua hakuna ambacho kinaweza kuitoa madarakani CCM. Kwani wapige kura...
  4. Bhaghosha

    Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

    Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50. Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
  5. Bhaghosha

    Ni wakati sasa wa kumsaidia Amiri Jeshi Mkuu wetu

    Mheshimiwa Rais kapokea repoti ya CAG na kutoa hotuba kali iliyojaa uchungu na nchi yake. Mheshimiwa Rais kaitoa hotuba mbele ya serikali yake, Lakini kikubwa mbele ya Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na usalama. Kwa hotuba ile wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na mahakama wamepewa kazi ya...
  6. Bhaghosha

    Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

    Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi. Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
  7. Bhaghosha

    Kwanini Lulu ni mtuhumiwa pekee wa mauaji ya Kanumba?

    Wiki iliyopita, Wazee wa Baraza Mahakamani wametoa maoni yao katika kesi dhidi ya msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu na kusema mtuhumiwa huyo aliua bila kukusudia. Ukweli ni kwamba sikufuatilia kujua nini kiliwasilishwa mahakamani lakini mimi kama mtaalamu wa mambo ya usalama wa raia...
  8. Bhaghosha

    Uchaguzi 2015 – kipenga kimepulizwa

    Watanzania wenzangu, uteuzi wa baraza jipya la mawaziri ni kiashiria tosha cha kwamba CCM (Serikali) tayari imeshaanza maandalizi kuelekea uchaguzi wa 2015. Hii inaashirika kutokana na uteuzi wa mawaziri na wizara zenyewe. Kwa kimkakati, wizara muhimu kwa CCM kwa 2015 ni tano. FEDHA, KATIBA NA...
Back
Top Bottom