Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

Bhaghosha

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
224
163
Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani.
Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu Mpemba nk nk nk. Hizi hotoba za Lissu ni za darasani sana. Ningependa watu wajawe na hasira. Inashangaza msafara wa Naibu WM unapishana na waandamanaji hata kumzoea tu hakuna? Wangemzomea tu pale wanainchi wangekuwa wameshindiliwa kichwani mwao kuhusu matumizi mabaya na ufujaji ya serikali.
NWM anatembea na msafara wa mashangingi ya mamilioni na wanainchi wako sawa tu.
Hotuba zenu sasa zielekezwe kwenye kuwachonganisha wanainchi na watawala ikiwemo CCM yenyewe.
Nawakilisha.
 
Ile ya Mtikila ilisababisha Maduka ya Watanzania wenye asili ya Kiasia Maduka yao yaporwe.
 
Back
Top Bottom