wasikilizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kipi Polepole atazungumza? Na kipi ambacho wasikilizaji wanatamani kukisikia?

    Mimi Sijambo! Polepole alisha-miss target 🎯 tangu siku ya kwanza. Sijajua nini atafanya kurudisha mchezo katika umiliki wake. Kwa kweli bado natathmini nini atafanya kuitikisa serikali ya Samia Suluhu ambayo kwa sasa ninaweza kusema ni adui namba moja wa Polepole katika Vita aliyoianzisha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama una internet radio station yenye wasikilizaji 1000 au zaidi kwa siku tuwasiliane

    Nitumie link ya station yako na idadi ya wasikilizaji (average number of listeners per day) tuone uwezekano wa kuweka matangazo ya biashara. Whatsapp 0656388678 au private message.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Trump karudi X, avunja rekodi ya kupata wasikilizaji wengi kwenye space, Kamala alaani ni uchcochezi, Wadukuzi walijaribu kuharibu interview.

    Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump. Baada ya Elon...
  5. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba zenye "aaa" nyingi zinachosha wasikilizaji

    Muda ni mali kama mali nyingine kuupoteza ni kosa sawa na makosa mengine. Kuna watu ukimpa nafasi ya kuzungumza atanza na neneo ""aaa". Mfano, aaa asanteni sana aaaa kwa kunipatia hii nafasi aaaa ya kuzungumza na nyinyi hapa. Aaa kusema ukweli aaa nilikuwa aaaa sina ndoto kama IPO siku aaaa...
  7. mpasta

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
Back
Top Bottom