Search results

  1. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  2. Beah

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
  3. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  4. Beah

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  5. Beah

    Computer4Sale Hp screen nauza inch 22

    🔥🔥🔥🔥🔥 Screen hp mtumba inch 22 nauza bei tsh 150000/= kwa mawasiliano 0652746359 hakisumbui kitu
  6. Beah

    Adsense account inahitajika haraka

    Nahitaji adsense account iliyotia hela kama unayo nicheki inbox au piga namba 0755288579
  7. Beah

    Plot4Sale Mashamba yanauzwa Kibaha Misugusugu

    Maahamba ktk sehemu maeneo ya Kibaha Misugusugu, bei milioni 7 kwa hekari moja maongezi yapo, Hekari Mia zinapatikana, karibuni wadau PM kwa maelezo zaidi Kama upo na interest
  8. Beah

    House4Sale Nunua nyumba Kibaha mjini kwa mkuu wa mkoa

    Nyumba ipo kibaha mkoani A au maarufu kama kwa mkuu wa mkoa nyumba ina makaratasi yote ya umiliki yapo umeme na maji vyote vipo ukubwa wa eneo lina upana wa mita 20 na urefu wa mita 30 (20×30) bei ni 50,000,000tsh (shilingi milioni 50) mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0652746359.
Back
Top Bottom