House4Sale Nunua nyumba Kibaha mjini kwa mkuu wa mkoa

Beah

Senior Member
Feb 15, 2015
127
75
Nyumba ipo kibaha mkoani A au maarufu kama kwa mkuu wa mkoa nyumba ina makaratasi yote ya umiliki yapo umeme na maji vyote vipo ukubwa wa eneo lina upana wa mita 20 na urefu wa mita 30 (20×30) bei ni 50,000,000tsh (shilingi milioni 50) mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0652746359.
received_450100568732171.jpeg
received_935057903361131.jpeg
received_1066728566841052.jpeg
received_434858317035239.jpeg
received_2157067654570104.jpeg
received_672606879759739.jpeg
received_231494577510400.jpeg
received_1849724835112812.jpeg
received_2157067654570104.jpeg
received_1860468327593318.jpeg
 
Hii itavunjwa iko kwenye hifadhi ya barabara
Sio kweli boss hiyo nyumba haipo kwenye hifadhi ya barabara na uzuri ni kwamba eneo limepiwa na lina hati unafwatilia kila kitu ukiridhia ndio tunafanya biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom