Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

Beah

Senior Member
Feb 15, 2015
127
75
NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI.
WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA

●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800
●Huduma za kijamii zote zipo karibu

SIFA ZA PAGALE

●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal
●Jiko
●Store
●Sebule
●Veranda mbili
● Umbali kutoka barabara kubwa ya lami ni mita 200

Kwa mawasiliano piga simu 0685631609

IMG_20220903_161315_402.jpg
 
Wakuu bei imeshuka kwa sasa unaweza kuja kulipia Milioni 35 badala ya Milioni 40. Karibuni sana kiwanja hakina mgogoro wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom