Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni hiyo kinara barani Afrika yenye wateja takribani millioni 22, ikiwa imetapakaa Karibu maeneo yote ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:
i) Amemteua Bw. Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Kainda alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.
ii) Amemteua Bi. Eva Kiaki Nkya...
Habari wana Jamvi,
Ninafarijika sana kuona kiwanda chetu cha kubeti kimetambulika kuzalisha ajira zaidi ya 25,000.
Sisi kama wabetiji tuna dukuduku, ni kwa nini kwa kila mkeka tunakatwa kodi, Kwa nini hatutambuliki na TRA?
===
"Sekta ya michezo ya kubahatisha Tanzania imefainikiwa kuzalisha...
Habari za Saizi wana jukwaa.
Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka.
Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
Habari wana Jamvi,
Baada ya muda kidogo kupita wiki iliyopita nilifanikiwa kurudi Dodoma kwa muda kushughulikia mambo fulani falani, lakini cha kushangaza zaidi nimeikuta Dodoma inazidi kurudi nyuma kama ilivokuwa miaka mingi nyuma.
Kama ulifika zamani kidogo kitu cha kwanza uta-notice zile...
Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu.
Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo.
Shetani yupo duniani.
Uongozi wa Singida Big Stars umefanya maamuzi ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate ambapo sasa timu hiyo imebadilishwa jina na kuwa “Singida Fountain Gate Footbal Club.”
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida Big Stars ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Bodi ya Singida Fountain Gate, John...
Supp zinawezekana kuchomoka! Ila angalia mazingira yaliyokufanya upate supp nyingi ni yapi? Yabadilishe! Then soma acha na starehe, module ambazo ni ngumu kwako zipe masaa mengi kuzisoma na kuzirudia....utatoboa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.