Search results

  1. brave one

    TAMKO- Kuondoka neno wanaume kama kundi athirika kwenye mpango kazi wa taifa kutokomeza ukatili

    Got Rebecca Gyumi Mjumbe akiongea na waandishi wa habari na kutoka msimamo huo wa kundi linalotetea haki za wanawake na watoto dhidi ukatila anasema "Sisi kama tapo la utetezi wa haki za wanawake na watoto nchini Tanzania, tumeshtushwa na pendekezo lililotolewa la kujumuisha wanaume, kama kundi...
  2. brave one

    Mwijaku atoa onyo kwa atakayepita na mke wake

    Kupitia Instagram Mwijaku atoa pole kwa Masanja na kutoa onyo vijana atakayepita na mke wake.
  3. brave one

    Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
  4. brave one

    Kagera Sugur wataka mil 200 kwa Yusuf Mulihu aende Simba

    Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC. Iko hivi... Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa mwaka 1 uliosalia wa Yusuf Mhilu uku Kagera Sugar wakitaka milioni 50 wakiwa bado kwenye mazungumzo...
  5. brave one

    Spika Ndugai: Wabunge msitambulishe waume au wake za watu Bungeni

    Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao cha bunge la bajeti, jijini Dodoma leo. Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi...
  6. brave one

    Channel gani DSTV wanaonyesha Bundesliga?

    Msaada wadau kwenye DSTV Sent using Jamii Forums mobile app
  7. brave one

    Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

    Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi. Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha...
  8. brave one

    Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

    Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado hajaingia kwenye uislam. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. brave one

    Kuna channel yoyote DStv inaonyesha Europa League

    Anaejua channel yoyote kwenye DStv inaonyesha Europa league atusaidie tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  10. brave one

    Yanga rasmi yamtangaza mbelgiji luc Eymael kuwa kocha mkuu

    Klabu ya Yanga ikifanya kazi karibu na mdhamini wake GSM imemtangaza kocha Luc Eymail kuwa kucha mkuu atakaechukua mikoba ya mwinyi Zahera Luc anauzoefu na soka la Africa na akiwa ametwaa mataji kadhaaa na vilabu tofauti. Ametwaa ubingwa akiwa na AS Vita ya DRC Congo Kocha huyo atatua Saa 8:30...
  11. brave one

    Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

    Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo
  12. brave one

    Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

    Harmonize amekuwa msanii pekee mwaka huu kutokana East Africa kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA katika kipengele Cha Best African Act akichuna na wakali Kama Barnaboy na Nasty C Unaweza kumpigia kura Harmonize kupitia Kutipia www.mtvema.com
  13. brave one

    Harmonize akiwa na Boss wake mpya

    Huku uongozi wa WCB kupitia Said Fella ukisisitiza hautabembeleza Harmonize kutumbuiza Wasafi festival na Kama Harmonize anataka kuondoka aage kwa amani. Harmonize amekuwa akionekana na boss wake mpya Jembe Ni Jembe wakipanga mikakati mbalimbali
  14. brave one

    Eric Baily arudi kijijini kwao Guiglo kutibu majeraha

    Beki wa Manchester United Eric Baily na Ivory Coast ameamua kurudi kijijini kwao Guiglo Mara baada ya majeraha kumuandama Mara kwa Mara na kwenda kujitibu huko. Baily ama miaka mingi hajarudi kijijini huko tangu alipofanikiwa kuwa mchezaji wa kimataifa na maarufu
  15. brave one

    Rastom aidhamini Yanga kupitia Taifa Gas

    Bilionea Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameingia kuidhamini klabu ya Yanga. Kampuni hiyo inatarajiwa kutangazwa Leo kwenye sherehe za kilele Cha wiki ya wananchi itakayofanyika uwanja wa Taifa Taifa Gas itakuwa kwenye mikoni ya jezi za Yanga
  16. brave one

    Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

    Watanzania wadau wa muziki wameanza movement kutengeneza awareness ili Beyonce ajue watu wake wamempotosha baada ya kukosekana mwakilishi kwenye album ya Lion King Huku akijaza wasanii wengi wa Africa magharibi
  17. brave one

    Kufuzu AFCON 2021: Tanzania yapangwa na Tunisia na Libya

    Kuelekea kufuzu AFCON 2021 yatakayofanyika nchini Cameroon, Tanzania imepangwa na Waarabu 2 Tunisia na Libya pamoja na Equatorial Guinea Kumbuka Ni timu 2 za juu tu zinafuzu kwenda AFCON 2021 Kila kundi. Tunisia ====== Shirikisho la Soka Barani Afrika limetangaza makundi kwa ajili ya kufuzu...
  18. brave one

    Wasanii wa East Africa Bado Ni Local Champions, Beyonce awatosa

    Kitendo Cha Beyonce kuzindua Album yake mpya ya Lion King Huku akiwashirikisha wasanii wakali wa Africa Huku akiwatosa wasanii wa East Africa Ni kilelezo tosha kwamba East Africa Bado hatuna International artist wa kweli wenye nguvu. Wasanii Kama Diamond platinum , alikiba na Eddy Kenzo Huku...
  19. brave one

    GSM kuzalisha na kusambaza jezi za Yanga

    Klabu ya Yanga Leo imetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kuzalisha na kusambaza vifaa ya Yanga kuanzia jezi rasmi ,za mazoezi, skafu na tracksuit. Swali la msingi Ni je GSm wamewahi kuzalisha jezi na vifaa vya michezo? Wengi tunajua GSM Wana maduka makubwa ya nguo za kawaida. Au ndo...
  20. brave one

    Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

    Alikuwa mchezaji wa Azam FC Ramadhani Singano maarufu Kama Messi amesajili na TP Mazembe ya Congo. Mazembe wanaamini Sinagano ana kipaji kikubwa na chini ya uangalizi wa na malezi anaweza kuwasaidia. Kila la kheri kijana kajitume uje kuokoa Taifa stars
Back
Top Bottom